algorithim
JF-Expert Member
- Aug 29, 2016
- 878
- 909
soma kwa makini utaelewaHivi msimu uliopita si alikua mmoja wa wafungaji bora wa ligi yubelgiji?kwa maana ya namba 2 ?bado unasema anabahatisha?
Tp mazembe alikua mfungaji bora na akateuliwa kuwania tuzo ya mchezaji bora afrika,bado haumuelewi tu ati anaotea?