Si mpk utakwe. Sasa kama dirisha kubwa imepita kimya, dirisha dogo sidhani.Hapo ndiyo basi tena, EPL hatoenda.
Hahahahahahahahhaah anatuchanganya ....jukwaa la siasa analeta habari za Genk na samattaUnajua nimecheka kifala sana mkuu [emoji23][emoji23]
Ukipunguza au kuacha ujuaji utanielewa na wakati mwingine ujuaji ugeuka kuwa ujinga.
Nahisi aibu na ww umepata maana hiyo source kwanza imedanganya umri wa samatta au we hujaona....anyway point ni kuwa hakuna binadamu aliyekamilika maana huwezi kuwa perfect muda wote hata google kuna maneno ukiandika inashindwa kutafsiri so Huyo alikosea kwa bahat mbaya, ni just kumuelekeza tuSiku hizi ukidanganya tu dakika moja mbele unapata aibu
Hilo nalo nenoHii ndo shida ya kutaka kuwa Wa kwanza kupost
Wacha abaki huko huko tumuone na UEFA bhanaHapo ndiyo basi tena, EPL hatoenda.
kwani huyo takataka unayesema anajua kuliko Samata anamesajiliwa na Madrid au Barcelona ya uwanja wa fisi?Iddy Suleiman nado anajua mpira kuliko samata .
yupo Azam FCkwani huyo takataka unayesema anajua kuliko Samata anamesajiliwa na Madrid au Barcelona ya uwanja wa fisi?
Sasa kwanini Usimpeleke Mancity ili tuone ubora wake kuliko kumfananisha na mtu anayeweza kumfanya house boy wakeyupo Azam FC
muda utatuambia .Sasa kwanini Usimpeleke Mancity ili tuone ubora wake kuliko kumfananisha na mtu anayeweza kumfanya house boy wake
Angekuwa anamzidi kiwango angekosa timu abaki anatapatapa mtaanimuda utatuambia .
kwani Abdi Banda anazidiwa KIWANGO na smaling?