Samata asign mkataba Mpya hadi 2021

Samata asign mkataba Mpya hadi 2021

Mbona Samata haendi England au tim mlizokuwa mnataja wanamtaka vip?
 
Pengine kiwango cha afcon kiliamua hatima yake katika kupata nafasi Epl au serie A
 
Kama wamempa mpunga mrefu hamna shida.Pesa ndo kila kitu
 
Iddy Suleiman nado anajua mpira kuliko samata .
 
Hivi Jamaa anapokea kiasi gani kwa wiki pale genk
 
Unaandika upuuzi halafu unakuwa mbishi,we ndo mjinga wa mwisho
Ukipunguza au kuacha ujuaji utanielewa na wakati mwingine ujuaji ugeuka kuwa ujinga.
 
Siku hizi ukidanganya tu dakika moja mbele unapata aibu
Nahisi aibu na ww umepata maana hiyo source kwanza imedanganya umri wa samatta au we hujaona....anyway point ni kuwa hakuna binadamu aliyekamilika maana huwezi kuwa perfect muda wote hata google kuna maneno ukiandika inashindwa kutafsiri so Huyo alikosea kwa bahat mbaya, ni just kumuelekeza tu
 
Back
Top Bottom