ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Japo Kwa muda tu hebu tumpe kongole kijana wetuHata kama ni ushabiki huu umezidi. Sawa ngoja aendelee kuwaburuza wakina CR7.
Huyu jamaa alishakimbia kabisa!Mkuu siku hizi Samatta akifunga hatufungui thread tunaripoti hapa :
Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu! - JamiiForums
Sawa kawaburuza,anacheza ligi gani na goli za hiyo ligi zikishindanishwa zina point ngapi? Je, walioburuzwa wanaingiza sh.ngapi na yeye ngapi? Nampongeza na nafurahi anavyofanikiwa lakini tusiwe na mahaba maandaziNi katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Gent fc
Ssmata akiingia nyavuni katika dakika ya 23 Ya mchezo
Hongera sana Mbwana samata. Sasa hivi kwa goli zake 15 katika ligi amefungana na King Messi wa Barcelona
Kiasi inafurahisha sababu mastaa kibao wa dunia amewaburuza japo kwa muda wakiwemo
Cr7
Naymar
Mbappe
Luis Suarez
Mohd Sarah
Aubumeyang
Lewandonsky
Kun Aguero
Griezman na wengine kibao
Anacheza ulaya katika moja ya ligi tano bora dunianiSawa kawaburuza,anacheza ligi gani na goli za hiyo ligi zikishindanishwa zina point ngapi? Je, walioburuzwa wanaingiza sh.ngapi na yeye ngapi? Nampongeza na nafurahi anavyofanikiwa lakini tusiwe na mahaba maandazi
Anacheza ulaya katika moja ya ligi tano bora duniani
Kigezo cha kuingiza Shs Ngapi hakina nguvu!
Hata kama Samata anaingiza Milioni 2 lakini tayari amefikisha goli 15
Cr7 anaingiza Mabilioni lakini kazidiwa idadi na samata.... Ukweli unabaki hapo
Wewe usiwe mgumu kutoa pongezi bana
Wabongo jamani angekua mnaigeria mngesifia kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo jamaa ni kiazi mwachie thread yake tuMkuu ligi tano bora duniani unazijua?
Tatizo wabongo na waafrica kwa ujumla huwa hatupendi kusema ukweli juu ya uwezo wa mtu fulani ila siku wazungu wakisema mbongo huyu ni mzuri hapo sasa na sisi ndio tunaanza kumsifia ##tatizo sanaAnacheza ulaya katika moja ya ligi tano bora duniani
Kigezo cha kuingiza Shs Ngapi hakina nguvu!
Hata kama Samata anaingiza Milioni 2 lakini tayari amefikisha goli 15
Cr7 anaingiza Mabilioni lakini kazidiwa idadi na samata.... Ukweli unabaki hapo
Wewe usiwe mgumu kutoa pongezi bana
Wabongo jamani angekua mnaigeria mngesifia kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app