Samata atupia Jana tena!

Samata atupia Jana tena!

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Ni katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Gent fc
Ssmata akiingia nyavuni katika dakika ya 23 Ya mchezo
Hongera sana Mbwana samata. Sasa hivi kwa goli zake 15 katika ligi amefungana na King Messi wa Barcelona
Kiasi inafurahisha sababu mastaa kibao wa dunia amewaburuza japo kwa muda wakiwemo
Cr7
Naymar
Mbappe
Luis Suarez
Mohd Sarah
Aubumeyang
Lewandonsky
Kun Aguero
Griezman na wengine kibao
 
Hata kama ni ushabiki huu umezidi. Sawa ngoja aendelee kuwaburuza wakina CR7.
 
Ni katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Gent fc
Ssmata akiingia nyavuni katika dakika ya 23 Ya mchezo
Hongera sana Mbwana samata. Sasa hivi kwa goli zake 15 katika ligi amefungana na King Messi wa Barcelona
Kiasi inafurahisha sababu mastaa kibao wa dunia amewaburuza japo kwa muda wakiwemo
Cr7
Naymar
Mbappe
Luis Suarez
Mohd Sarah
Aubumeyang
Lewandonsky
Kun Aguero
Griezman na wengine kibao
Sawa kawaburuza,anacheza ligi gani na goli za hiyo ligi zikishindanishwa zina point ngapi? Je, walioburuzwa wanaingiza sh.ngapi na yeye ngapi? Nampongeza na nafurahi anavyofanikiwa lakini tusiwe na mahaba maandazi
 
Anacheza ulaya katika moja ya ligi tano bora duniani
Kigezo cha kuingiza Shs Ngapi hakina nguvu!
Hata kama Samata anaingiza Milioni 2 lakini tayari amefikisha goli 15
Cr7 anaingiza Mabilioni lakini kazidiwa idadi na samata.... Ukweli unabaki hapo
Wewe usiwe mgumu kutoa pongezi bana
Wabongo jamani angekua mnaigeria mngesifia kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ligi tano bora duniani unazijua?
 
Anacheza ulaya katika moja ya ligi tano bora duniani
Kigezo cha kuingiza Shs Ngapi hakina nguvu!
Hata kama Samata anaingiza Milioni 2 lakini tayari amefikisha goli 15
Cr7 anaingiza Mabilioni lakini kazidiwa idadi na samata.... Ukweli unabaki hapo
Wewe usiwe mgumu kutoa pongezi bana
Wabongo jamani angekua mnaigeria mngesifia kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wabongo na waafrica kwa ujumla huwa hatupendi kusema ukweli juu ya uwezo wa mtu fulani ila siku wazungu wakisema mbongo huyu ni mzuri hapo sasa na sisi ndio tunaanza kumsifia ##tatizo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu ni wanafiki na wanajionesha wazi wazi humu

Samatta kufunga goli 15 katikati ya msimu ni jambo dogo?!!
 
Back
Top Bottom