Samata M. Vs Sigurdsson G.

Creah

Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
79
Reaction score
82
Mshambuliaji tegemezi wa club ya Everton Sigurdsson G raia wa Iceland ukimlinganisha na mshambuliaji wa club ya KRC Genk Samata M raia wa Tanzania utaona sababu kubwa ya Everton kumtaka samata kwa hali na mali.
Record zao zinatofautiana sana haswa katika upachikaji wa magoli huku samata akimzidi sana Sigurdsson G kwani Sigurdsson G katika michezo 24 zilizopita amefunga magoli 8 huku samata katika mechi 24 zilizopita amefunga magoli 23 huku Europa ndogo akifunga magoli 5 kwemye mtoano huku kwenye makundi akifunga magoli 3 katika mechi nne.
i Sigurdsson G kwenye ligi ana magoli 5 akiwa ni mchezaji wa 8 kwenye topscore huku samata kwenye ligi ana magoli 8 akiwa nyuma ya kinala wa ufungaji Ivan Santin mwenye magoli 9.
Samata anashika nafasi ya 2 kwenye Europe league akiwa na magoli 3 nyuma ya muisilael Dabbur M anaechezea Salzburg ya austria mwenye magoli 5.
Hadi hapo kwa leo nimekuonyesha mwanga kuwa samata ni miongoni mwa washambuliaji hatari barani ulaya na kufunguliwa kwa dilisha dogo la usajili ulaya miongoni mwa wachezaji watakaoongelewa sana katika usajili na samata yumo. Hata hivyo Everton wanaweza wakamkosa samata kwani kuna vilabu vingi vikubwa barani ulaya vinavyomnyatia.
 
Best wishes kwa mdau wangu wa pale mbagala
Leo nitampigia simu nimuulize kuhusu dirisha dogo
 
Yule chalii wa Chelsea game moja katia matatu afu unasemaje samata anashika nafasi ya pili?
 
Yule chalii wa Chelsea game moja katia matatu afu unasemaje samata anashika nafasi ya pili?
Mkuu utakuwa hujanielewa mimi naongelea kwenye Europe legue na kwenye Jupeler leagu
 
Uzalendo ni jambo la msingi

Lakini tunapaswa kuzingatia yafuatayo katika kuwafananisha wawili hao

1. Sigurdsson si namba 9 kama ilvyo kwa Samata

Sigurdsson anacheza ligi ya uingereza wakati Samata yupo ligi ya Ubelgiji (Wenye google mtanisaidia kuangalia ranking ya hizo ligi mbili)

Mwisho. Samata ana uwezo wa soka hivyo natamani pia aende kujaribiwa katika ligi ngumu ya Uingireza
 
Mkuu sigurdsson ni attackin midfielder na samata ni striker (goal geter) hizo ni position mbili tofauti japokua pia hucheza kma number 10.
 
kwani nchi gani inaongoza kwa viwango vya fifa au unataka kuniambia uingereza inaongoza
 
kwani nchi gani inaongoza kwa viwango vya fifa au unataka kuniambia uingereza inaongoza
Siongelei ranking ya National team, naongelea ranking ya league

Ufaransa yupo juu ya Uingereza kwenye National team, lakini ligi yake ni dhaifu ukifananisha na ya Uingereza (ndio maana kwenye UEFA Champions ligi Uingereza anaingiza timu nne na Ufaransa anaingiza timu 3). Mifano ipo mingi.
 
Jana nilikua natazama huko kwenye international sport platform jinsi wanavyomringanisha Samatta na huyo Sigurdsson, jamaa walienda mbali zaidi mpaka nani alifuga magoli kuzidi mwenzake kwa kutumia mguu gani, vichwa n.k, wakaangalia mpaka speed ya mtu akiwa na Mpira, urefu, ugumu wa Ligi n.k

Mwisho mwandishi akamaliza kwa kusema kama ni yeye anampa Samatta nafasi ya kufanya vizuri akitua Everton, kwani kwa vigezo vingi anaonekana ni bora kuliko opponent wake.
Ova!
 
Umeongea ushabiki,,,,,
Kwanza sigurson sio pure striker kama Samatta, kwa hio kuwalinganisha kitakwimu ni kosa kubwa sana!

Samatta ni pure striker na ni goal getter, kazi yake uwanjani ni kuji-position kupokea mipira na kuitumbukiza nyavuni! Tuje kwa sigurson huyu ni attacking midfilder, japo anaweza kufunga anapopata chance , ila sio jukumu lake kuu,,, yeye kazi yake ni kuchukua mipira na kuisambaza! Sigurson ni aina ya wachezaji kama mata, ozili n.k ! Samatta ni aina ya wachezaji kama lewadoski, benteke, cavani, Diego Costa n.k!

Tuje kwenye uhalisia, umemuander rate sana sigurson kwa takwim za msimu huu ambao hata nusu ya raundi nzima bado, kisa samata yupo form! Ile ni primier league ni ngum tofautisha la ligi ya ubelgiji,,, popa akija pale ataweza ? Sirguson tangia akiwa Swansea yupo vizuri
 
Hakun kama samata jamaa ni shida ila wabongo wanapenda kumkebehi
 
kwani nchi gani inaongoza kwa viwango vya fifa au unataka kuniambia uingereza inaongoza
Inaongoza Belgium lakini majority ya wachezaji wake wanacheza England
(Mignolet,Hazard,Lukaku,Fellaini,De Bruyne,Verthongen,Chadli,Kompany,Dembele,Alderweid)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…