Samata M. Vs Sigurdsson G.

Samata M. Vs Sigurdsson G.

sasa unaonge nn kati ndie mchezaji mwenye goli nyingi everton na ndie anaecheza no 10
Mkuu hapa siongelei ushabiki naongelea mpira.
Samatta ni number 9(hitman),na huyo mwengine ni numner10.
Halaf sigurdsson anacheza kma player maker kama sikosei msimu uliopita au mwaka juzi sigurdsson nae alikua katika mchezaji wenye assist.

Kwa maana hio ni vigumu kufananisha wachezaji hao wakati mmoja wao yuko kwenye game ngumu kwa kipindi kikubwa na anakua katika form mda wote huo.
 
Jana nilikua natazama huko kwenye international sport platform jinsi wanavyomringanisha Samatta na huyo Sigurdsson, jamaa walienda mbali zaidi mpaka nani alifuga magoli kuzidi mwenzake kwa kutumia mguu gani, vichwa n.k, wakaangalia mpaka speed ya mtu akiwa na Mpira, urefu, ugumu wa Ligi n.k

Mwisho mwandishi akamaliza kwa kusema kama ni yeye anampa Samatta nafasi ya kufanya vizuri akitua Everton, kwani kwa vigezo vingi anaonekana ni bora kuliko opponent wake.
Ova!
hakika ni kweli japo ligi ya uingereza ni ngumu ila kwa everton pale atatikisa
 
Mkuu hapa siongelei ushabiki naongelea mpira.
Samatta ni number 9(hitman),na huyo mwengine ni numner10.
Halaf sigurdsson anacheza kma player maker kama sikosei msimu uliopita au mwaka juzi sigurdsson nae alikua katika mchezaji wenye assist.

Kwa maana hio ni vigumu kufananisha wachezaji hao wakati mmoja wao yuko kwenye game ngumu kwa kipindi kikubwa na anakua katika form mda wote huo.
sigurdsson kama angekuwa midflda active angekuwa na asisit za kumzidi samata but ana asist 1 tu sawa na samata
 
sigurdsson kama angekuwa midflda active angekuwa na asisit za kumzidi samata but ana asist 1 tu sawa na samata
Mkuu huo wako wew ushabiki sasa.
Unaijua sababu ya kuja hapo everton?

Na ulikua ukimuangalia huyo jamaa alipokua swansea?

Kma unayajua hayo basi wew kma mfuatiliaje mpira huwezi kuwalinganisha hao wachezaji wawili.
 
Uzalendo ni jambo la msingi

Lakini tunapaswa kuzingatia yafuatayo katika kuwafananisha wawili hao

1. Sigurdsson si namba 9 kama ilvyo kwa Samata

Sigurdsson anacheza ligi ya uingereza wakati Samata yupo ligi ya Ubelgiji (Wenye google mtanisaidia kuangalia ranking ya hizo ligi mbili)

Mwisho. Samata ana uwezo wa soka hivyo natamani pia aende kujaribiwa katika ligi ngumu ya Uingireza
Well said, watanzania tunapenda sana kukuza vitu bila hata research. Samata. Mzuri kwa ligi yake lakini sio EPL . Ndio maana wapo watu wakali ligi zingine lakini wakienda EPL wanapata tabu Sana.
 
naomba unipe orodha ya timu nyingine zinazomuhitaji samata ukiachana na everton, nataka kujua sipo kwenye ubishani.
 
Sigurdson hajawai.kua no.9

No.9 everton ni hawa
Richarlson, calvert-lewin na Cenk tosan

Sigurdson ni no.10 kote everton na timu ya taifa ya iceland ,,tena moja ya no. 10 bora kabisa..
 
Well said, watanzania tunapenda sana kukuza vitu bila hata research. Samata. Mzuri kwa ligi yake lakini sio EPL . Ndio maana wapo watu wakali ligi zingine lakini wakienda EPL wanapata tabu Sana.
Kwahyo hata Europa ni ligi yake? kwa sasa samatta ni bora kuliko lukaku mara kumi nafasi anazokosaga lukaku pale united samatta hapotezagi nafasi hivyo.Samatta anajua njia za mpira anajua kukaa kwenye nafasi nzur timu ikiwa inashambulia ndio maana anatupia tuu hata akitua England lazima akatupie tuu.
 
Ona hao walioshika Bendera!
IMG_20181029_211451.jpg
 
Back
Top Bottom