Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Mkuu hapa siongelei ushabiki naongelea mpira.sasa unaonge nn kati ndie mchezaji mwenye goli nyingi everton na ndie anaecheza no 10
Samatta ni number 9(hitman),na huyo mwengine ni numner10.
Halaf sigurdsson anacheza kma player maker kama sikosei msimu uliopita au mwaka juzi sigurdsson nae alikua katika mchezaji wenye assist.
Kwa maana hio ni vigumu kufananisha wachezaji hao wakati mmoja wao yuko kwenye game ngumu kwa kipindi kikubwa na anakua katika form mda wote huo.