SAMATTA aendelea kung'aa ligi ya Ubelgiji

thesym

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
3,843
Reaction score
4,796
Ikiwa ligi ya imeingia kwenye hatua ya kutafuta bingwa yaani professional league Jana mbwana samata aliendelea kuing'arisha Tanzania baada ya gori safi dakika ya 76 angalia hapo chini hilo goli.


 
Jamaa hatar kaingia dk ya 76 kapiga goli dakika ya 77
 
Yaani ukitaka kujua kiwango changu cha soka kilivokuwa zamani, basi wee muangalie fundi samatta "summer goals", shule imeua kipaji changu.
 
Mbona hiyo video haifungiki na mtandaoni wala haipatikani?
Okei, nimeiona kwenye insta yake! Mwendo mdundo, mechi tano tokea benchini goli tatu, hiyo ratio ya kufunga ni scary!
 
Nisiwe mnafki kwa Barcelona hawez pata namba labda kwa Madrid na EPL
Hahahaha watanzania bana.. Kihesabu za haraka tu samata ana miaka 25 kwa Sasa hamna timu kubwa inayoweza kumtolea macho.. Yy aombe Mungu tu hata Southampton imuone

Maana wanyama wa Southampton pmj na kipaji chake hakuna anaemtolea macho

Tumsfu samata kwa kuonyesha njia ila yy hawez kucheza klabu kubwa sana Ulaya

Atafute mzungu tu ampachike mimba apate visa ya kuish uko mambele
 
George Weah alitoka Afrika kwenda Ulaya akiwa na miaka 24, bado akapata nafasi ya kuchezea AC Milan wakati huo ikiwa AC Milan kweli kweli. Nonda Shaban alitoka kwao Burundi akaja kucheza Yanga, akaenda Vaal Professional ya SA, akaenda FC Zurich ya Uswizi, mpaka hapa tayari alikuwa hapungui miaka 26, bado akaenda Monaco na badae Galatasaray, hizi nazo si timu ndogo Ulaya. Hakuna lisilowezekana.
 
Brother soka la zamani ni tofaut na Sasa
Miaka kumi nyuma mchezaj alikuwa anakaa kwenye pick had miaka 33 had 35 ila Sasa Miaka 30 ni mashaka
 
Christiano ronaldo ana miaka 32.
Zlatan ibrahimovic 35
Kama uwezo upo upo tu. Fanya tafiti kwanza kabla huja type.


Brother soka la zamani ni tofaut na Sasa
Miaka kumi nyuma mchezaj alikuwa anakaa kwenye pick had miaka 33 had 35 ila Sasa Miaka 30 ni mashaka
 
Umekosea tuu ulipoandika gori badala ya goli ila yeah Samatta anatutoa kimasomaso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…