Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisiwe mnafki kwa Barcelona hawez pata namba labda kwa Madrid na EPLSafi sana, EPL/ La Liga/ Bundesliga ileeeeeee!
Jaribu hiiMbona hiyo video haifungiki na mtandaoni wala haipatikani?
Jaribu hii
Hahahaha watanzania bana.. Kihesabu za haraka tu samata ana miaka 25 kwa Sasa hamna timu kubwa inayoweza kumtolea macho.. Yy aombe Mungu tu hata Southampton imuoneNisiwe mnafki kwa Barcelona hawez pata namba labda kwa Madrid na EPL
George Weah alitoka Afrika kwenda Ulaya akiwa na miaka 24, bado akapata nafasi ya kuchezea AC Milan wakati huo ikiwa AC Milan kweli kweli. Nonda Shaban alitoka kwao Burundi akaja kucheza Yanga, akaenda Vaal Professional ya SA, akaenda FC Zurich ya Uswizi, mpaka hapa tayari alikuwa hapungui miaka 26, bado akaenda Monaco na badae Galatasaray, hizi nazo si timu ndogo Ulaya. Hakuna lisilowezekana.Hahahaha watanzania bana.. Kihesabu za haraka tu samata ana miaka 25 kwa Sasa hamna timu kubwa inayoweza kumtolea macho.. Yy aombe Mungu tu hata Southampton imuone
Maana wanyama wa Southampton pmj na kipaji chake hakuna anaemtolea macho
Tumsfu samata kwa kuonyesha njia ila yy hawez kucheza klabu kubwa sana Ulaya
Atafute mzungu tu ampachike mimba apate visa ya kuish uko mambele
Brother soka la zamani ni tofaut na SasaGeorge Weah alitoka Afrika kwenda Ulaya akiwa na miaka 24, bado akapata nafasi ya kuchezea AC Milan wakati huo ikiwa AC Milan kweli kweli. Nonda Shaban alitoka kwao Burundi akaja kucheza Yanga, akaenda Vaal Professional ya SA, akaenda FC Zurich ya Uswizi, mpaka hapa tayari alikuwa hapungui miaka 26, bado akaenda Monaco na badae Galatasaray, hizi nazo si timu ndogo Ulaya. Hakuna lisilowezekana.
Mkuu naona unatudanganya hapa..C.Ronaldo n zaid ya miaka 31 lakn bado anakamuaBrother soka la zamani ni tofaut na Sasa
Miaka kumi nyuma mchezaj alikuwa anakaa kwenye pick had miaka 33 had 35 ila Sasa Miaka 30 ni mashaka
Brother soka la zamani ni tofaut na Sasa
Miaka kumi nyuma mchezaj alikuwa anakaa kwenye pick had miaka 33 had 35 ila Sasa Miaka 30 ni mashaka