Samatta agonga mbili timu yake ikishinda 3-1

sasa sijui mimi maana nashangaa ka wewe maana pesa anayo hana mtoto wala habar na madem labda niamze kumchunguza kujua jinsia yake kiundan

Duh kweli wana shiladu lazima kujiuliza maswali, maana hata picha aliyopiga na demu sijawahi iona , atakuwa CHAPUTA sugu
 
samata dk 243 karelis 119
hiyo inamaanisha Samatta kafunga kila baada ya dk 243 na karelis 119. kwa goli tatu samatta kacheza dk 729 na karelis 952. wastani wa dk 48 kwa mechi kwa samata na 68 karelis.
ila kitakwimu karelis yuko vizuri japo samata nahisi kuingia mwishoni kunamsumbua.
 
Kuna uwezekano mkubwa Samatta akawa anapitia humu kutokana na Ukubwa na Umaarufu wa JF. So Tujitahidi kumpa moyo akifanya Vizuri, na Tumkosoe kwa KUMJENGA hii ni kwa maslahi mapana ya Taifa...
Kuna bavicha humu wao hata mpira wanaleta siasa zao za mwangalio hasi kwa kila kitu. Wakafie mbele.
 
 
chujua minutes per game 68 uzidishe kwa game 14 fananisha na minutes per game za samata 48 zidisha kwa game 15. Karelis kacheza dk nyingi zaidi.
 
chujua minutes per game 68 uzidishe kwa game 14 fananisha na minutes per game za samata 48 zidisha kwa game 15. Karelis kacheza dk nyingi zaidi.
samata kacheza mechi nying zaidi ya kaleris
 
Published on 1 Dec 2016

Flashinterviews na W Beveren - KRC Genk Croky Cup

Interviews na W. Beveren - KRC Genk ||Croky Cup || Sandy Walsh || Bryan Heynen || Mbwana Ally Samatta


Source: KRCGenkofficial
 
binafsi nafurahia hizo changamoto na zitansaidia kufanya bidii zaidi kwani angepata namba mapema hapo angeridhika na kuona yeye ni start kumbe hiyo ni timu ya kawaiada kwa ulaya.
 
Hizo takwimu umezitoa wapi?

Mijitu mingine bwana, Badala ya kumuombea asonge mbele wewe unataka aje Azam.. Poor thinking..!!
Achana naye mkuu wabongo hawana wema! sikute Samatta alimgonga Dada wa jamaa hapo, then yeye anaumia mpaka Leo...
 
Samatta anapambana tumsapoti, tuweke pembeni usimba na uyanga kwa sababu anabeba jina la nchi kwenye soka
 
Mwanzo huwa mgumu azidishe juhudi atafika mbali kufika sehemu mpya na kufit mara moja ni wachezaji wachache sana wameweza kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…