magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
uzoefu wa nini?!! basi mkuu mi nimekuelewa.uzoefu wa nini wakat anatimiza mwaka akiwa ilaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uzoefu wa nini?!! basi mkuu mi nimekuelewa.uzoefu wa nini wakat anatimiza mwaka akiwa ilaya
mkuu shida yako na samatta nini?sio mech ya ligi ni belgium cup like bonanza flan
usipotoshe watu. mbona inaonyesha Karelis kacheza dk nyingi.View attachment 441773 umemuona mwanamme karelis huyoo
samata dk 243 karelis 119usipotoshe watu. mbona inaonyesha Karelis kacheza dk nyingi.
sasa sijui mimi maana nashangaa ka wewe maana pesa anayo hana mtoto wala habar na madem labda niamze kumchunguza kujua jinsia yake kiundan
hiyo inamaanisha Samatta kafunga kila baada ya dk 243 na karelis 119. kwa goli tatu samatta kacheza dk 729 na karelis 952. wastani wa dk 48 kwa mechi kwa samata na 68 karelis.samata dk 243 karelis 119
Kuna bavicha humu wao hata mpira wanaleta siasa zao za mwangalio hasi kwa kila kitu. Wakafie mbele.Kuna uwezekano mkubwa Samatta akawa anapitia humu kutokana na Ukubwa na Umaarufu wa JF. So Tujitahidi kumpa moyo akifanya Vizuri, na Tumkosoe kwa KUMJENGA hii ni kwa maslahi mapana ya Taifa...
hiyo inamaanisha Samatta kafunga kila baada ya dk 243 na karelis 119. kwa goli tatu samatta kacheza dk 729 na karelis 952. wastani wa dk 48 kwa mechi kwa samata na 68 karelis.
ila kitakwimu karelis yuko vizuri japo samata nahisi kuingia mwishoni kunamsumbua.
samata kacheza mechi nying zaidi ya kalerischujua minutes per game 68 uzidishe kwa game 14 fananisha na minutes per game za samata 48 zidisha kwa game 15. Karelis kacheza dk nyingi zaidi.
Hizo ndiyo roho mbayaHizo takwimu umezitoa wapi?
Mijitu mingine bwana, Badala ya kumuombea asonge mbele wewe unataka aje Azam.. Poor thinking..!!
Bavicha wanahusika vpKuna bavicha humu wao hata mpira wanaleta siasa zao za mwangalio hasi kwa kila kitu. Wakafie mbele.
Wanahusika hivyo hivyo kama wanavyohusika.Bavicha wanahusika vp
Achana naye mkuu wabongo hawana wema! sikute Samatta alimgonga Dada wa jamaa hapo, then yeye anaumia mpaka Leo...Hizo takwimu umezitoa wapi?
Mijitu mingine bwana, Badala ya kumuombea asonge mbele wewe unataka aje Azam.. Poor thinking..!!