GJ Ze Great
Member
- Jan 21, 2020
- 10
- 1
Kwakuwa hujui kama atafunga ama la nafikiri usubiri tuKuna beki kisiki Caglar Soyuncu, sijui kama atafunga huyo mchezaj wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata zoezi la kula tu angeshindwaSijaelewa hapo mtu katoka ubeligiji mnasema mazoezi ya uingereza magumu je angetokea tz mojakwamoja si angededi uwanjani
Kila La Heri
Wewe ndio nimekuelewa ingawa walioleta mada wamemnukuu kochaHapana,sio kwamba anashindwa mazoezi la hasha!tatizo ni ugeni wa mazingira aliyopo kwani bado hajayazoea vyema ila atakapozoea mazingira mambo yatakua safi labisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha roho mbaya wewe samata kafunga mbele ya ukuta mgumu chini ya beki bora vvd na uwanja wenye mashabiki vichaa kwa ushangiliaji (liverpool )
Sent using Jamii Forums mobile app
Once hater always hater. Yaani ukiwa hater unaamini Soyancu ni beki bora kuliko VVD.
Na wewe subiri.Kwakuwa hujui kama atafunga ama la nafikiri usubiri tu
Wenga ni wengi Sana mkuuNionyeshe hapo juu palipoandikwa kwamba "HATA MAZOEZI TU ANASHINDWA!"
Wabongo bana.... Wachawi Sana.... Utakua Unaishi Tandale kwa Mfuga Mbwa bila shaka.
Mimi nimemzungumzia MESSI sio mesi.Aliongea kabla ya mechi (usiku huu) kasema atabaki kuwa samatta na hawezi kuwa mesi kwa sababu ya mchezo wa leo.