Samatta akata pumzi EPL

Samatta akata pumzi EPL

Olmost

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
337
Reaction score
441
Screenshot_20200923-084022.jpg

=======

Aston Villa’s Smith discusses Samatta and Betrand Traore omission in Sheffield United win

Mbwana Samatta was omitted from the Aston Villa squad that defeated Sheffield United 1-0 on Monday because of his performance in training, manager Dean Smith has confirmed.

The Tanzania captain alongside new signing Bertrand Traore did not feature in Smith’s 18-man squad as Ezri Konsa’s header gave them a flying start to the 2020-21 Premier League season at Villa Park.

Zimbabwe's Marvelous Nakamba and Egypt's Ahmed El Mohamady were unused substitutes in the fixture while Trezeguet played for the duration of the encounter.

Nine months after his signing from Genk, Samatta faces an uncertain future in the West Midlands following the signing of Ollie Watkins from Brentford this summer.

In recent weeks, the 27-year-old has been reportedly linked with Villa's league rivals West Bromwich Albion and a move to the Turkish Super Lig could be on the cards with Fenerbahce said to be interested in his services.

At the end of Monday’s encounter, Smith claimed Samatta’s absence was just a selection decision as they look to improve on last season’s performance.

"That was just selection. Players who I believe have done well [in training] get in the team,” Smith was quoted by Birmingham Live.

"Last season was a tough start, a baptism and we had to bed in a lot of players.

"This season we just felt there's no newness about it. There's an expectancy from myself that we'll be much better this season."

For Traore, who just signed a four-year contract from Lyon on Saturday, Smith claimed the club could not complete his documentation before the match.

However, the manager assured that the Burkina Faso forward will be available for Aston Villa's Carabao Cup trip to Bristol City on Thursday.

"He couldn't have been involved today, obviously,” he added.

"He had to be signed by Friday lunchtime which involved work permits and, with Covid at the moment, we couldn't get that done in time for tonight.

"All the paperwork's done now and he'll be ready for Bristol City. He brings us extra quality which we need and competition for places is what we want if we're to be a high-quality team."
 
Hivi kwann watanzania wanaumia sana na maendeleo ya mtu wakaribu kuliko maendeleo ya mtu wa mbali?

Mtu anaona ni bora apate mafanikio mtu asiyemjuwa kuliko apate mtanzania mwenzie.

Kweli nusu ya wabongo tuna roho za kichawi.

Jamaa mmempiga madongo sana, badala ya kumpa moyo kwa uthubutu wake kucheza EPL.
 
Ni dalili ya uchawi. kwa upande wangu mpaka hapo samatta sina cha kumdai na ukizingatia kuwa hakuanzia kwenye academy basi amejitahidi sana.
 
One of our own. 🇹🇿

Mpaka sasa Samatta ni legend wa soka la Tanzania. Amefanya yaliyoonekana hayawezekani.

Watu wa mpira wanasema "Form is temporary but class is permanent." Katika soka kuna ups and downs nyingi sana, Samatta yupo out of form lakini bado ni moja ya Striker mzuri tu.

Kwa timu aliyopo mpaka sasa naamini atakuwa amepoteza sana confidence, kwa maisha ya soka aliyotoka na alipo amevaa viatu vikubwa sana, inapofikia mahali yeye kama Striker hana cha ku-deliver uwanjani na anaanza kukaa bench lazima kwa kiasi fulani inaathiri kiwango chake.

Aston Villa mfumo wao sio wa kumchezesha Striker, msimu huu kama sikosei katika game zao mbili ni goli moja tu ndiyo limetoka kwa Striker (Watkins) kama kweli hizo timu zinahitaji huduma ya Samatta ni jambo jema kwa hatima ya kipaji chake.

Hana uwezo mkubwa wa kupachika mabao kama wakina Lewandowski ila "he really needs minutes on his legs" akienda Turkey watu wataona kama ni downgrade ila anahitaji sana dakika uwanjani kuendelea na kazi yake ili mdomo uende kinywani.
 
Hivi kwann watanzania wanaumia sana na maendeleo ya mtu wakaribu kuliko maendeleo ya mtu wa mbali?

Mtu anaona ni bora apate mafanikio mtu asiyemjuwa kuliko apate mtanzania mwenzie.

Kweli nusu ya wabongo tuna roho za kichawi.

Jamaa mmempiga madongo sana, badala ya kumpa moyo kwa uthubutu wake kucheza EPL.

Wakati wanamuombea njaa, mwenzao kila wiki mshahara unaingia! Awe amecheza au la. Halafu wenyewe wanapigwa tu na jua kali la bongo huku wakiwa wamebeba makapu yao ya samaki wabichi.
 
Hivi mnaofurahi na kukenua juu ya mapito ya samatta mnadhani mnamzidi kwa lolote? Analipwa pesa nyingi na kashatengeneza jina anahitajika kwingineko! Atakula maisha hata asipo Baki EPL, team iliyomchukua ilikuwa mbovu kiujumla, asingeweza kuibadilisha peke yake!
 
One of our own. 🇹🇿

Mpaka sasa Samatta ni legend wa soka la Tanzania. Amefanya yaliyoonekana hayawezekani.

Watu wa mpira wanasema "Form is temporary but class is permanent." Katika soka kuna ups and downs nyingi sana, Samatta yupo out of form lakini bado ni moja ya Striker mzuri tu.

Kwa timu aliyopo mpaka sasa naamini atakuwa amepoteza sana confidence, kwa maisha ya soka aliyotoka na alipo amevaa viatu vikubwa sana, inapofikia mahali yeye kama Striker hana cha ku-deliver uwanjani na anaanza kukaa bench lazima kwa kiasi fulani inaathiri kiwango chake.

Aston Villa mfumo wao sio wa kumchezesha Striker, msimu huu kama sikosei katika game zao mbili ni goli moja tu ndiyo limetoka kwa Striker (Watkins) kama kweli hizo timu zinahitaji huduma ya Samatta ni jambo jema kwa hatima ya kipaji chake.

Hana uwezo mkubwa wa kupachika mabao kama wakina Lewandowski ila "he really needs minutes on his legs" akienda Turkey watu wataona kama ni downgrade ila anahitaji sana dakika uwanjani kuendelea na kazi yake ili mdomo uende kinywani.
Jana huyo mwamba Watkins...kaweka tena...hii inazidi kumuweka Sammata kwenye wakati mgumu sana...anahitaji kupambana sana mazoezini..ili kurejesha namba yake.
 
Hii ni nzuri kwake kwa sababu inampa push na morali ya kufanya vyema zaidi. Kama akiichukulia hii ni changamoto basi atasogea sana. BTW Watkins hajachukua namba ya Samatta. Samatta wako neck to neck na Davis.
 
Hivi kwann watanzania wanaumia sana na maendeleo ya mtu wakaribu kuliko maendeleo ya mtu wa mbali?

Mtu anaona ni bora apate mafanikio mtu asiyemjuwa kuliko apate mtanzania mwenzie.

Kweli nusu ya wabongo tuna roho za kichawi.

Jamaa mmempiga madongo sana, badala ya kumpa moyo kwa uthubutu wake kucheza EPL.
Chuki hizi na choyo zote wametufundisha ccm

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Wakati wanamuombea njaa, mwenzao kila wiki mshahara unaingia! Awe amecheza au la. Halafu wenyewe wanapigwa tu na jua kali la bongo huku wakiwa wamebeba makapu yao ya samaki wabichi.
Kweli mkuu inasikitisha sn,tena mtu anaona faraja kabisa kwa mtanzania mwenzie ,,au jamaa yake wa karibu kupata matatizo,,
Aisee!!
Kwangu mm nasikitika sn kwa mbwana kuto kung'aa EPL...sababu ingekuwa ndy mwanzo wa watanzania wengine kushine..
 
Back
Top Bottom