Samatta akila "bata" na mashabiki wa Genk

kusemea ukweli mi bata sijawaona hapo
hahahaaa!
Mi kuna siku bi mkubwa alinikuta nasoma gazeti la shigongo kipindi kile obama alipokuja tz...Bas bwana kichwa cha gazeti ukurasa wa mbele kimeandikwa "Obama ndo rais anaeongoza kwa kula bata"
maswali yskaanza
 
Akaze buti dogo msimu ujao Gunners tumsajili...huyu dogo yuko ki gunners Zaidi..kila la kheri dogo kaza buti hadi kieleweke mwakani utue Imarati.


mara mia tisa aende Southampton! !
 


Tunagonga fish tu kwa afya zote.
 
Ungekula tu hyo ni zaidi kuku..
 
Bora hata Samatta amekula Bata mimi nilikula malimao na madaftari yaliyorostiwa pale Brussels..watasha bhaana.
 
Bora hata Samatta amekula Bata mimi nilikula malimao na madaftari yaliyorostiwa pale Brussels..watasha bhaana.


Kule Ardenne wana dish yao moja ya miguu ya vyura. First time mi nilifikiri masihara, wao ndio wakanishangaa mimi eti sijawahi kula vyura. Dunia inamambo sana
 
Utamuonaje wakati kapikwa?
"Kula bata" ni msemo tu; ni sawa na kusema "kula kuku kwa mrija". Yote kwa yote, ni vigumu kuepuka kitimoto Ulaya. Uangalifu mkubwa unahitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…