Samatta akila "bata" na mashabiki wa Genk

Samatta akila "bata" na mashabiki wa Genk

kusemea ukweli mi bata sijawaona hapo
hahahaaa!
Mi kuna siku bi mkubwa alinikuta nasoma gazeti la shigongo kipindi kile obama alipokuja tz...Bas bwana kichwa cha gazeti ukurasa wa mbele kimeandikwa "Obama ndo rais anaeongoza kwa kula bata"
maswali yskaanza
 
Akaze buti dogo msimu ujao Gunners tumsajili...huyu dogo yuko ki gunners Zaidi..kila la kheri dogo kaza buti hadi kieleweke mwakani utue Imarati.


mara mia tisa aende Southampton! !
 
Maisha ya Ulaya kama huli kitimoto inabidi uwe makini Sana maana hata ukinunua nyama inabidi utafute maduka ya Halaal lakini supermarket za wote ni ngumu. Kwasababu hapo inapouzwa nyama ya ng'ombe/mbuzi ndio humu huko imewekwa kiti moto. Uislam tabu Sana maisha haya


Tunagonga fish tu kwa afya zote.
 
Mimi mwenyewe alimanusura leo nikile kitimoto bahati tu nikaona jina ''Jambon'' nikashtuka du jamaa aka apologise sana ila mwishoni akasema you can eat the rest ...mhhhh wakati zimechanganyika.... nimeshinda njaa ila jioni nimekandamiza mikate mikavu na nyanya mbichi Ulaya kwa misosi shida aisee .. tumezoea supu kwa mangi na chapati au vitumbua kwa mama semeni.........by the way samata kama uko humu JF kakao niko Bordouex hapa France karibu ila weekend ijayo narudi home
Ungekula tu hyo ni zaidi kuku..
 
Bora hata Samatta amekula Bata mimi nilikula malimao na madaftari yaliyorostiwa pale Brussels..watasha bhaana.
 
Bora hata Samatta amekula Bata mimi nilikula malimao na madaftari yaliyorostiwa pale Brussels..watasha bhaana.


Kule Ardenne wana dish yao moja ya miguu ya vyura. First time mi nilifikiri masihara, wao ndio wakanishangaa mimi eti sijawahi kula vyura. Dunia inamambo sana
 
Back
Top Bottom