Samatta anahitaji muongozo. Ona alichoandika


Unquestionably...you're one strong advocate, no doubt about it!

One more thing, big production companies always place cautious/warning, whether it's a movie with swear words or music, to cover their behinds I guess.

Nevertheless, we wish Samatta nothing, but the best!
 
Hey hey Niggaz,
Leave ma nigga alone
I dnt c anythng wrong
Jus do yo thing niggaz.
 
Duh! We jamaa unakuza mambo!! Hivi hiyo RACISM ni nani anambagua nani? Hivi ikija Uganda Cranes pale Taifa halafu shabiki akarusha ndizi kwa golikipa unadhani tafsiri yake itakuwa sawa na Cranes wakifanyiwa hivyo Misri? Au shabiki wa Kimatumbi pale Taifa akisema Juma Kaseja anadaka kama nyani unadhani atatafsiriwa sawa na mtu asiye Mwafrika akitoa kauli hiyo hiyo?

Yaani wala hapakuwa na sababu ya ku-Google lakini nimelazimika kufanya hivyo. According to FIFA's 2013 Resolution On The Fight Against Racism and Discrimination wanasema:
  • Having regard to FIFA’s robust regulatory framework that is already in place to fight all kinds of racism and discrimination, which was further strengthened by the FIFA Congress with a Code of Conduct;
  • Having regard to FIFA’s responsibility to ensure inclusivity and human dignity for every one involved in the beautiful game;
The following measures shall be implemented on a global level in football:

Hapa sina sababu ya kutaja adhabu lakini tuje kwenye hivyo vipengele. Wanasema "to fight all kinds of racism and discrimination " Je, what kind of racism aliyoifanya Samatta na amembagua nani?

Pia FIFA wanasema "to ensure inclusivity and human dignity for every one" Ni utu wa nani hapo ambao Samatta ameu-abuse?

NB: Umesema akipata mtu mwenye akili ama ataifuta hiyo post au atai-edit! Kwanza nitangulie kusema kwamba, hadi sasa hajampata huyo mwenye akili lakini hata akipatikana wala haina maana kwamba ndo atakuwa sahii! Wewe ungekuwa kaka ake ungemshauri na huenda angekusikiliza kwa kuwa tu anakuheshimu hata kama umeonesha issue mzima unaichukulia ndivyo sivyo!!!
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…