Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Hivi umeelewa alichoandika samata kweli ??
Issue ni nyie kumwaga matusi na sio kujazana kwenye account za Aston villa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka π€Ah kifupi samata mwenyewe hakupendezewa nakile kitendo cha kuto kupewa pass nayule jamaa angepewa mbona angepiga chapili kwan unafikir hapend kunga kiupande flan naye alimaind
hata hao mashabiki wa Algeria [emoji1026] huwa na kauli chafu .
Wabongo kwa mitandao hatujambo,page ya Pompeo pia imejaa wabongo ni kiswanglish tu huko..Samatta akazane na mpira tu Haya mambo ya mashabiki ni ngumu sana kuzuia, Mfano; ukienda page ya Man City ni full kiarabu na kila mada huhusishwa na Mahrez hiyo imetokana na uwepo wa Algeria wengi wanaoipenda Man City kutokana na uwepo wa captain wao Riyad Mahrez. Mtu akimponda captain huyo wa Algeria basi husakama na wa Algeria kama wote hata kama mchezaji huyo hakucheza vizuri. Ni hayo tu.
Wabongo kwa mitandao hatujambo,page ya Pompeo pia imejaa wabongo ni kiswanglish tu huko..
mbona kuna mabadiliko makubwa bei ya vifurushi jamaa, inatutesa sana. tigo walikuwa wakombozi nao wameweka bei za ajabu kwa data kiduchu.Data bei chee
Ingekuwa 100Mb ni 5000Tsh hapo tungeelewana
Kwa kuwa Wa Algeria wanatukana na kuandika kauli chafu basi na wewe unaona vema kufanya hivyo!!!hata hao mashabiki wa Algeria [emoji1026] huwa na kauli chafu .
wabongo wapumbavu sanaHivi umeelewa alichoandika samata kweli ??
Issue ni nyie kumwaga matusi na sio kujazana kwenye account za Aston villa
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ni mbuzi nafasi ipi ya wazi aliyoipata samata ya kupewa pass akanyimwa?Ah kifupi samata mwenyewe hakupendezewa nakile kitendo cha kuto kupewa pass nayule jamaa angepewa mbona angepiga chapili kwan unafikir hapend kunga kiupande flan naye alimaind
Bado pia ni rahisi kulinganisha na nchi nyingine kama SA,Ghana,Nigeria n.kmbona kuna mabadiliko makubwa bei ya vifurushi jamaa, inatutesa sana. tigo walikuwa wakombozi nao wameweka bei za ajabu kwa data kiduchu.
ipo kwenye damu au michongo ya pesa hamna, huu nao ni uzururaji[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa mkuu ππ
ππππ