Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Samatta akazane na mpira tu Haya mambo ya mashabiki ni ngumu sana kuzuia, Mfano; ukienda page ya Man City ni full kiarabu na kila mada huhusishwa na Mahrez hiyo imetokana na uwepo wa Algeria wengi wanaoipenda Man City kutokana na uwepo wa captain wao Riyad Mahrez. Mtu akimponda captain huyo wa Algeria basi husakama na wa Algeria kama wote hata kama mchezaji huyo hakucheza vizuri. Ni hayo tu.