Wewe ni pumbavu na lofa wa kiwango cha goli la mkono la amissi tambwe.Mwanaume unanunuaje gari nyekundu.. angenunua nyeusi au nyeupe kama hiyo.. sio mbaya lakini
Wewe ni pumbavu na lofa wa kiwango cha goli la mkono la amissi tambwe.
matusi ya nini mkuu, una gari jekundu nini, behaveWewe ni pumbavu na lofa wa kiwango cha goli la mkono la amissi tambwe.
hiyo baiskeli sina mkuu.. namiliki tz11Ukute hata honi ya gari inakaa wapi hujui haf unaongea uporoto kuhusu magari hapa
weka na wewe picha yako ukiwa na gari kama hiyo Nyeusi au Nyeupe...lazima tuwe tunaongea kwa mifanoMwanaume unanunuaje gari nyekundu.. angenunua nyeusi au nyeupe kama hiyo.. sio mbaya lakini
labda picha ya tz11 mkuuweka na wewe picha yako ukiwa na gari kama hiyo Nyeusi au Nyeupe...lazima tuwe tunaongea kwa mifano
Wapuuzi huwa hamkosekaniMwanaume unanunuaje gari nyekundu.. angenunua nyeusi au nyeupe kama hiyo.. sio mbaya lakini
spacial kwa chick hiyo likiwa kwenye parking sehemu yoyote ndio la kwanza kuonekana...pia special kwa kuikumbuka timu yake iliyomfikisha hapo
Mmmmh, wabongo tuna nongwa bhana......mtu hela yake ameipenda gari nyekundu ww unampangia angenunua nyeusi au nyeupe kwa kujiamini kabisa...............TUPUNGUZE GUBUMwanaume unanunuaje gari nyekundu.. angenunua nyeusi au nyeupe kama hiyo.. sio mbaya lakini
Ni uamuzi wake, ni pesa zake.
Lakini mimi binafsi sijavutiwa na uamuzi huo, kwa sababu sio vizuri sana kwa kijana mdogo aliyepata mafanikio makubwa ya kipesa kwa muda mfupi kisha kukimbilia kutumia pesa zake kwenye Vitu vya gharama kubwa sana kama kununua gari ya kutembelea ya kifahali. Gari ya milioni 136 la nini kwa kijana ambaye ndio kwanza anamiliki gari katika maisha yake huko Ulaya?
Wenye Hekima watanielewa vizuri.
130M unanunua gari wkt ukiipasua robo unapata gari latest nzuri, hivi kajenga kwao? Hapo usikute anaishi ktk studio apartment, akili za vijana wa leo.
Kwaiyo hiyo aliyoinunua ni mbaya ?
Pesa si ni zake na gari kaipenda mwenyewe na kainunua, tatizo lako nini ?
Umeambiwa kwao wanaishi kwenye hema ?
NB:- Haishi kwenye apartment studio, anaishi UWANJANI.
[HASHTAG]#Akili[/HASHTAG] za vijana wa jana/kesho bwana!
Kwa hiyo na wewe unajiona mwanaume kamili kujibu hiyo pumba hapo juu? Doh!
Wewe na huyo samatta wote wa..pu..mba..vu tu,
Mtu katoka bongo kapauka kama anapaka mawese usoni, anapata hela and the first thing ni gari ya mil130??? Cha! Hela yake lakini ni mjinga! Kama wewe
Jana nilitaka kuandika kitu kama hiki nikasema ngoja kwanza lazma atajitokeza wa kuniwakilisha kimawazo! kama ningeandika jana ningekuja kupigwa mitama ya shingo hapa!Mwanaume unanunuaje gari nyekundu.. angenunua nyeusi au nyeupe kama hiyo.. sio mbaya lakini
Mmeshaanza.Mwanaume unanunuaje gari nyekundu.. angenunua nyeusi au nyeupe kama hiyo.. sio mbaya lakini
Wema sepetu fursa hii hujaiona?
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta ametumia kiasi cha milioni 130 kununua gari yake ya kwanza nchini Ubelgiji.
Gari hilo alilonunua mchezaji huyo ni Benz Cla220 Cdi AMG Sport 2016 ambayo gharama yake inadaiwa kuwa ni €46,680.
Samatta amechukua uamuzi huo baada ya kufanikiwa kupata leseni inayomruhusu kuendesha gari nchini humo baada ya kunyimwa miezi kadhaa iliyopita.
Inadaiwa kuwa mchezaji huyo analipwa kiasi cha €35,600 kutokana na mkataba wake wa kuichezea timu ya Genk ambao utamalizika mwaka 2020.
Kwa sasa Samatta ameonekana kuwa miongoni mwa wachezaji wa kutegemewa kwenye timu ya KRC Genk ambayo inashiriki kwenye michuano ya Europa League japo amekuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili akiuguza majeraha.