Anaweza kucheza EPL , kwa timu ya taifa hii mchukue CR7 lazma atakua useless tuLabda akacheze championship,
Kudadekii wew unachoo au unadhani genk ni timu ndogooLabda akacheze championship,
Samatta hakuwa mfungaji bora, alishika nafasi ya 2.
mtunisia alipiga goals 25 samatta 23 sema mtunisia katika hizo 25 goals 10 ni za penati kwa hiyo samatta ni wa pili siyo wa kwanza
Hizo goals kazifunga akiwa mashindano ya chini ya aliyokuwa akicheza Samatta.mtunisia alipiga goals 25 samatta 23 sema mtunisia katika hizo 25 goals 10 ni za penati kwa hiyo samatta ni wa pili siyo wa kwanza
Hahahahahahahahah........kawadanganye wajinga wenzio vijuweni.......Kama kitu hujui ni bora kukaa kimya tu.Kwenye playoffs haihesabiki maana wao wanakutana na vilaza so hapo striker anaweza funga magoli kama yote wakati huku ni vilabu vikali tena vyenye ushindani na inakuwa ngumu kupata magoli.
Ingia hata Google bro upate uhakika usikariri kwa kuwa muda mrefu alikuwa anaongoza ukadhani hadi mwisho,alikuja kuzidiwa mechi za mwishoniAcha uwongo wabongo mna nini kuongea vitu msivyo na uhakika navyo Google top score wa Belgium league 2018 /2019 kazi uwongo tu bila sababu kwa nini lakini unashindwa hata kusoma tu unadanganya eti wa pili umetoa wapi hizo takwimu stupid
Alipitwa mechi za mwishoniKwahiyo kumbe alipitwa mkuu? mbona mda mrefu alikua akiongoza tena kwa idadi kubwa ya magoli
πππππni mpuuzi tu captain mzima unahojiwa unaingiza mambo ya siasa kwenye team,wendawazimu hao wa ccm stars na bashite wao hata hizo 3 hazikuwatosha walitakiwa wabebeshwe zigo la mavi
Na hizo timu za EPL zilizomtaka na zikashindwana Terms na Genk zilikuwa hazijui kuwa bwana mdogo hana kiwango cha kuchezea ligi ya kwao ila we ndio ujue?
Huyo wa kwanza ni nan...?Samatta hakuwa mfungaji Bora alikuwa mfungaji bora wa pili
Ww nitajie hao waliompita...toa top 6Nitajie streka ambaye angalau samagoal anamfikia pale EPL.. Anza na timu za chini kabisa maana kwa top 10 hakuna hata mmoja