Sijui nisikujibu!!...ila basi ngoja nikujibu..kila ki2 kinakwenda kwa hatua ndugu..kwan mbwana kakaa mazembe muda gan?? Misimu minne mitano hivi...kwan kipindi yupo mazembe ilimaanisha hakuwa na kiwango cha kucheza ulaya?...ni hatua kwa hatua..ni mpaka pale timu ya ulaya ilipomuona ndipo wakamsajili...kwa hiyo hata timu yoyote kubwa yenye mapungufu kwenye ushambuliaji ikimuona ikamkubali itamchukua...kwan si msimu wake wa pili tu huu...na hakuna uhakika kama atabaki Genk msimu ujao....ninyi wabongo cjui mna matatizo gani aisee...chuki za kishamba tu..