Samatta hana kiwango Cha kucheza EPL

Samatta hana kiwango Cha kucheza EPL

Pita hiviπŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰huelewi...
Acha kudanganya watu Eti magoli ya Playoff hayahesabiki.............Samatta amemaliza mzunguko wa League na Magoli 20 tu Kwenye mechi za Playoff Kafunga magoli 3 tu Juma ni Magoli 23 ndio kamalizanayo ,Umeelewa Acha Ubishi wa kijinga mkuu bisha kitu unachokijua
 
Acha kudanganya watu Eti magoli ya Playoff hayahesabiki.............Samatta amemaliza mzunguko wa League na Magoli 20 tu Kwenye mechi za Playoff Kafunga magoli 3 tu Juma ni Magoli 23 ndio kamalizanayo ,Umeelewa Acha Ubishi wa kijinga mkuu bisha kitu unachokijua
Leta hiyo post niliyosema mabao ya playoff hayahesabiki...mm ndo nilisema siyahesabu....we jamaa unasumbuliwa na bhange nshaona..zinakufanya ukurupuke tu....
 
Yawezekana hujui hata EPL kuna Forwards za aina gani

Samatta ana hadhi ya kucheza Big six zote za EPL achana na klabu uchwara kama Everton na wengineo
 
nawashangaa wana google wanaleta charts za apriol wakati league ina play offs jamaa kaja kumpita mwezi wa tano mwishoni huko
hawajui hata kwamba ligi ya ubelgiji ni bora kuliko ya tanzania mara 10.... ILA LIGI YA UBELGIJI INA TIMU 16 ILHALI YETU INA TIMU 20..... huu ni ukumbafu.....
 
alidhani ni ligi ya ubeligiji..... ETI ALISEMA WANAENDA MISRI KUIWAKILISHA SERIKALI YA AWAMU YA TANU.....
 
Binafsi naona Samatta ana uwezo wa kucheza EPL,kuna wachezaji wa iiwango cha kawaida sana wapo Epl na hawamfikii Samatta
 
Nikiwahi kusema ikaonekana wivu, jamaa kwanza umri umesonga, kila mwisho wa msimu wanatuletea tetesi kibao lakini baadae utasikia karudi Belgium.
Kila mwisho wa msimu.. Msimu upi na upi?!
 
Nitajie streka ambaye angalau samagoal anamfikia pale EPL.. Anza na timu za chini kabisa maana kwa top 10 hakuna hata mmoja
Saido Berahino wa Burundi aliweza kucheza EPL Samatta hawezi kushindwa
 
Back
Top Bottom