Samatta hatomaliza misimu miwili ndani ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)

Mkuu nasubir utabiri wako kwangu, au haujaona comment yangu.?
 
Muda sio mrefu nta-reply kwa wote waliomponda ndugu yangu wa damu

Kwa utabiri huu, familia ya shekh yahaya warud darasani
 
Timu yenyewe ilikuwa mbovu.
Na hakuwa na muda wa kutosha. Kwani kacheza mechi ngapi pale villa?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Yani kumbe hujui hata idadi ya mechi alizocheza alafu unabwabwaja hapa aisee.

Samatta kacheza mechi 16 akiwa amefunga goli moja tu, huyo ni striker au Utopolo?
 
Unakuja kumponda kwa kucheza mechi sita na kufunga goli tatu, hapo hakupewa mipira ya kutosha na wenzake. Utadhani alicheza misimu kumi, kwa jinsi mnavyomshambulua
 
Unakuja kumponda kwa kucheza mechi sita na kufunga goli tatu, hapo hakupewa mipira ya kutosha na wenzake. Utadhani alicheza misimu kumi, kwa jinsi mnavyomshambulua
Wote wanaofunga hua wanapewa mpira na wenzao.?
 
Yani kumbe hujui hata idadi ya mechi alizocheza alafu unabwabwaja hapa aisee.

Samatta kacheza mechi 16 akiwa amefunga goli moja tu, huyo ni striker au Utopolo?
Samatta hajacheza av mechi 16 acha uzuzu wewe
 
Ushauri kwa wale wote mliomponda mtoa mada, rudini mka-edit koment zenu

Nngekuwa n mm bc mapema sana nngefanya hvy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…