Umeamini kwamba wewe ni mjinga?
Kukiri kukosea ni uungwana, si watu watz wengi wana hulka hiyo, binafsi napendezwa sana na mtu aliye huru kutoa mawazo yake lakini ambaye yuko tayari kukubali pale uhalisia unapo bainisha tofauti na fikra zake.Nadhani nilikosea kujaji analysis hii, nadhani mleta uzi yupo sahihi.
Nimeangalia juzi akianzia bench ikanipa wasiwasi na asivyo kuwa mtu wa kutafuta mpira, nahisi anaweza sugua banch zaidi
Sawasawa wajumbe, nawaona wajumbe.Huyu Samatta soon atapelekwa Uturuki kumalizia mpira wake baada ya timu yake kuwa imeshuka daraja.
Hana mpira wa kucheza EPL yule, ni kweli alibahatisha tu kwani hata spidi ya EPL hawezi.
Hakuna unalolijua kwenye soka na mbaya zaidi hujijui kama hujuiWe nawe poyoyo
Habari mkuuHakika nakwambia Ukiendelea hivi bado kijana ukizeeka utakuwa Mwanga.!
Kama ni bahati watanzania tupo wangapi mbona hatujabahatika wote.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duhh watu na maono yenuHuyu Samatta soon atapelekwa Uturuki kumalizia mpira wake baada ya timu yake kuwa imeshuka daraja.
Hana mpira wa kucheza EPL yule, ni kweli alibahatisha tu kwani hata spidi ya EPL hawezi.
Wee jamaa ni nuksii duhHuyu Samatta soon atapelekwa Uturuki kumalizia mpira wake baada ya timu yake kuwa imeshuka daraja.
Hana mpira wa kucheza EPL yule, ni kweli alibahatisha tu kwani hata spidi ya EPL hawezi.
Unakuja kumponda kwa kucheza mechi sita na kufunga goli tatu, hapo hakupewa mipira ya kutosha na wenzake. Utadhani alicheza misimu kumi, kwa jinsi mnavyomshambulua
We jamaa utakuwa Mganga wa JadiNajua nitashambuliwa kwasababu watanzania hatupendi kuambizana ukweli, hata uone mapungufu ya wazi kabisa tuko radhi tukayaseme pembeni au kukaa nayo kimya.
Kwanza nampongeza alipofika na apangacho Mungu lazima kitimie, inawezekana alipangiwa kufika hapo alipo, lakini pia kwenye maisha kuna suala na bahati, inawezekana kafika hapo kwa bahati aliyonayo ukiondoa juhudi na maarifa.
Twende kwenye hoja, ukiangalia Samatta aina yake ya ushambuliji utagundua ni mtu wa kutengenezewa kila kitu yani apikiwe, apakuliwe yeye aje kula tu, ligi ya EPL inataka uhangaikaji, utafutaji na sometimes hata kama wewe ni mshambuliaji basi ujue kujitengenezea pia. Ukiangalia magoli ya Samatta toka alipokua Genk utagundua ni mzuri sana kumalizia, yani yeye ni mipira ya kichwa, kama ni mguu basi ile one touch nyavuni, hakuna kujitengenezea wala kujitafutia.
Ndio maana tumeanza kusema ooh anabaniwa pasi, hakuna kitu kama hicho, angalia game zote mbili hakuna sehemu ametafuta, zote alikua na mtu anaezengea zengea golini, kibongo bongo tunaita kuibia [emoji1][emoji1]. Sasa kwa wenzetu hata wachezaj wenzie wanamchora tu ni rahisi kumuona aah jamaa anasubiri tumpelekee haya aendelee kusubiri, sasa sisi tunatafsiri kama wanambania
Lakini pia Samatta akisema aanze mashambulizi ya kujitengenezea utagundua anawahi sana kuchoka, hana pumzi na hapo ndio linakuja suala la kuongeza juhudi kwenye kijijengea pumzi, tusishangae akianza kutokea benchi round ya pili ikianza. Yote ya yote kijana anajituma anastahili pongezi.
Wenzetu wale hawakawii kukuuza kwa mkopo wakiona mambo sio mambo..
Haya sasa njoo ukanusheHakika nakwambia Ukiendelea hivi bado kijana ukizeeka utakuwa Mwanga.!
Kama ni bahati watanzania tupo wangapi mbona hatujabahatika wote.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana yake, mechi za EPL tuKacheza Mechi 6 kafunga goli 3 sio?
Unampa ngapi sasa?
Uliona mbaliHuyu Samatta soon atapelekwa Uturuki kumalizia mpira wake baada ya timu yake kuwa imeshuka daraja.
Hana mpira wa kucheza EPL yule, ni kweli alibahatisha tu kwani hata spidi ya EPL hawezi.
Mkuu nitabirie naoa lini