Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Shida ni kwamba watu wanafanya analysis ya kitu walichokiona , hafu wao wanaleta zarauBinafsi kucheza ulaya tu ni hatua kubwa. Habari ya lig gan acheze na ip asicheze ni mipango ya Mungu.
Kumewahi kuwa wachezaji mahiri sana na walioshindwa kuwika EPL
Majina Kama Deco, Shevi, hawakuwah kufany vizuri EPL pamoja na uwezo wao walikotoka.
Mbwana kaonesha njia, kumponda hakutuongezei wala hakutupunguzii. Wengine hata Yanga au Simba tu tumeshindwa kufika.
#Haina Kufeli
Hongera kwako pia mkuu kwa kuwa na jicho la tatu, very few people can see beyond.Niliwahi kusema hili kwa uzuri tu. Sio kwasababu ya wivu lakini ilikua UHALISIA. Naona tunaanza kuyaona, kitu muhimu ni kuandaa watoto tokea chini kabisa kwaajili ya masafa ya ligi kama EPL. Hongera kwake pia kwa kutuandikia historia ambayo haijawahi kuandikwa na yeyote yule
. 😂😂😂 MKUU HESHIMA KWAKOHakika nakwambia Ukiendelea hivi bado kijana ukizeeka utakuwa Mwanga.!
Kama ni bahati watanzania tupo wangapi mbona hatujabahatika wote.!
Sent using Jamii Forums mobile app
.Na kweli 2Ni wivu tu
Ili Ni Kaburi la tar 24 June,Huyu Samatta soon atapelekwa Uturuki kumalizia mpira wake baada ya timu yake kuwa imeshuka daraja.
Hana mpira wa kucheza EPL yule, ni kweli alibahatisha tu kwani hata spidi ya EPL hawezi.
Vipi upogo!?
yametimia na iyo sentensi ya mwisho ndio imetimia zaidi...Najua nitashambuliwa kwasababu watanzania hatupendi kuambizana ukweli, hata uone mapungufu ya wazi kabisa tuko radhi tukayaseme pembeni au kukaa nayo kimya.
Kwanza nampongeza alipofika na apangacho Mungu lazima kitimie, inawezekana alipangiwa kufika hapo alipo, lakini pia kwenye maisha kuna suala na bahati, inawezekana kafika hapo kwa bahati aliyonayo ukiondoa juhudi na maarifa.
Twende kwenye hoja, ukiangalia Samatta aina yake ya ushambuliji utagundua ni mtu wa kutengenezewa kila kitu yani apikiwe, apakuliwe yeye aje kula tu, ligi ya EPL inataka uhangaikaji, utafutaji na sometimes hata kama wewe ni mshambuliaji basi ujue kujitengenezea pia. Ukiangalia magoli ya Samatta toka alipokua Genk utagundua ni mzuri sana kumalizia, yani yeye ni mipira ya kichwa, kama ni mguu basi ile one touch nyavuni, hakuna kujitengenezea wala kujitafutia.
Ndio maana tumeanza kusema ooh anabaniwa pasi, hakuna kitu kama hicho, angalia game zote mbili hakuna sehemu ametafuta, zote alikua na mtu anaezengea zengea golini, kibongo bongo tunaita kuibia [emoji1][emoji1]. Sasa kwa wenzetu hata wachezaj wenzie wanamchora tu ni rahisi kumuona aah jamaa anasubiri tumpelekee haya aendelee kusubiri, sasa sisi tunatafsiri kama wanambania
Lakini pia Samatta akisema aanze mashambulizi ya kujitengenezea utagundua anawahi sana kuchoka, hana pumzi na hapo ndio linakuja suala la kuongeza juhudi kwenye kijijengea pumzi, tusishangae akianza kutokea benchi round ya pili ikianza. Yote ya yote kijana anajituma anastahili pongezi.
Wenzetu wale hawakawii kukuuza kwa mkopo wakiona mambo sio mambo..
Mleta maada pongezi kwa kuona kile ambacho wengi hatukuona au pale tulipoona, kama ulivyoandika tuliona haya kusema kama kawaida yetu.Najua nitashambuliwa kwasababu watanzania hatupendi kuambizana ukweli, hata uone mapungufu ya wazi kabisa tuko radhi tukayaseme pembeni au kukaa nayo kimya.
Kwanza nampongeza alipofika na apangacho Mungu lazima kitimie, inawezekana alipangiwa kufika hapo alipo, lakini pia kwenye maisha kuna suala na bahati, inawezekana kafika hapo kwa bahati aliyonayo ukiondoa juhudi na maarifa.
Twende kwenye hoja, ukiangalia Samatta aina yake ya ushambuliji utagundua ni mtu wa kutengenezewa kila kitu yani apikiwe, apakuliwe yeye aje kula tu, ligi ya EPL inataka uhangaikaji, utafutaji na sometimes hata kama wewe ni mshambuliaji basi ujue kujitengenezea pia. Ukiangalia magoli ya Samatta toka alipokua Genk utagundua ni mzuri sana kumalizia, yani yeye ni mipira ya kichwa, kama ni mguu basi ile one touch nyavuni, hakuna kujitengenezea wala kujitafutia.
Ndio maana tumeanza kusema ooh anabaniwa pasi, hakuna kitu kama hicho, angalia game zote mbili hakuna sehemu ametafuta, zote alikua na mtu anaezengea zengea golini, kibongo bongo tunaita kuibia [emoji1][emoji1]. Sasa kwa wenzetu hata wachezaj wenzie wanamchora tu ni rahisi kumuona aah jamaa anasubiri tumpelekee haya aendelee kusubiri, sasa sisi tunatafsiri kama wanambania
Lakini pia Samatta akisema aanze mashambulizi ya kujitengenezea utagundua anawahi sana kuchoka, hana pumzi na hapo ndio linakuja suala la kuongeza juhudi kwenye kijijengea pumzi, tusishangae akianza kutokea benchi round ya pili ikianza. Yote ya yote kijana anajituma anastahili pongezi.
Wenzetu wale hawakawii kukuuza kwa mkopo wakiona mambo sio mambo..
Marehemu? Yupi.Ili Ni Kaburi la tar 24 June,
Marehemu Alkua na mdomo Sana[emoji1]
Najua nitashambuliwa kwasababu watanzania hatupendi kuambizana ukweli, hata uone mapungufu ya wazi kabisa tuko radhi tukayaseme pembeni au kukaa nayo kimya.
Kwanza nampongeza alipofika na apangacho Mungu lazima kitimie, inawezekana alipangiwa kufika hapo alipo, lakini pia kwenye maisha kuna suala na bahati, inawezekana kafika hapo kwa bahati aliyonayo ukiondoa juhudi na maarifa.
Twende kwenye hoja, ukiangalia Samatta aina yake ya ushambuliji utagundua ni mtu wa kutengenezewa kila kitu yani apikiwe, apakuliwe yeye aje kula tu, ligi ya EPL inataka uhangaikaji, utafutaji na sometimes hata kama wewe ni mshambuliaji basi ujue kujitengenezea pia. Ukiangalia magoli ya Samatta toka alipokua Genk utagundua ni mzuri sana kumalizia, yani yeye ni mipira ya kichwa, kama ni mguu basi ile one touch nyavuni, hakuna kujitengenezea wala kujitafutia.
Ndio maana tumeanza kusema ooh anabaniwa pasi, hakuna kitu kama hicho, angalia game zote mbili hakuna sehemu ametafuta, zote alikua na mtu anaezengea zengea golini, kibongo bongo tunaita kuibia [emoji1][emoji1]. Sasa kwa wenzetu hata wachezaj wenzie wanamchora tu ni rahisi kumuona aah jamaa anasubiri tumpelekee haya aendelee kusubiri, sasa sisi tunatafsiri kama wanambania
Lakini pia Samatta akisema aanze mashambulizi ya kujitengenezea utagundua anawahi sana kuchoka, hana pumzi na hapo ndio linakuja suala la kuongeza juhudi kwenye kijijengea pumzi, tusishangae akianza kutokea benchi round ya pili ikianza. Yote ya yote kijana anajituma anastahili pongezi.
Wenzetu wale hawakawii kukuuza kwa mkopo wakiona mambo sio mambo..
Hongera sana Joh![emoji848]
Mzee vp Leo unasemaje
Utabiri unazidi kudhihirika!Mzee vp Leo unasemaje