Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Don Clericuzio hebu njoo uone eti hii nayo ni Analys...
kweli mkuu yeye sio MUNGU kuwa hana mapungufuMkuu issue ya Samatta binafsi namtakia kila la kheri tu, kuhusu mapungufu anayotajwa nayo naamini kama yapo atayafanyia kazi.
Bongo tumeharibiwa na wahenga, eti aliyeko juu mngoje chini.
kweli mkuu yeye sio MUNGU kuwa hana mapungufu
Sababu huwezi kupata natural striker aliekamilika kila kitu kwa karne hii.
Atakuwa top finisher lakini hana spidi.
Atakuwa top finisher lakini hawezi ku defense.!
Mengine kama pumzi si yanarekebishika?
Sasa eti striker anavizia golini..! Hii ni kauli ya expert wa soka kweli?
Mleta Mada nadhani umeiskia hii ππTrue, ligi yenyewe ni ngumu. Na tumemwona mechi moja tu.
With time ata-integrate na wenzake, chemistry ikikaa sawa tutamwona Samatta tunayemwitaji.
Moja ya vitu namkubali jamaa ni humbleness, hii inamsaidia kufit na wenzake kwa haraka na kujifunza.
Kuna off watapata ya wiki 2, ni muda kiasi wa yeye kuendelea kupata ABCs za ligi na kuelewana na wenzake.
Mmh! Wachawi mmeanza.Najua nitashambuliwa kwasababu waTz hatupendi kuambizana ukweli, hata uone mapungufu ya wazi kabisa tuko radhi tukayaseme pembeni au kukaa nayo kimya.
Kwanza nampongeza alipofika na apangacho Mungu lazima kitimie inawezekana alipangiwa kufika hapo alipo, lakini pia kwenye maisha kuna suala na bahati, inawezekana kafika hapo kwa bahati aliyonayo ukiondoa juhudi na maarifa.
Twende kwenye hoja, ukiangalia samatta aina yake ya ushambuliji utagundua ni mtu wa kutengenezewa kila kitu yani apikiwe, apakuliwe yeye aje kula tu, ligi ya EPL inataka uhangaikaji, utafutaji na sometimes hata kama wewe ni mshambuliaji basi ujue kujitengenezea pia. Ukiangalia magoli ya Samatta toka alipokua Genk utagundua ni mzuri sana kumalizia, yani yeye ni mipira ya kichwa, kama ni mguu basi ile one touch nyavuni, hakina kujitengenezea wala kujitafutia.
Ndio maana tumeanza kusema ooh anabaniwa pasi, hakuna kitu kama hicho, angalia game zote mbili hakuna sehemu ametafuta, zote alikua na mtu anaezengea zengea golini, kibongo bongo tunaita kuibia [emoji1][emoji1]. Sasa kwa wenzetu hata wachezaj wenzie wanamchora tu ni rahis kumuona aah jamaa anasubiri tumpelekee haya aendelee kusubiri, sasa sisi tunatafsiri kama wanambania
Lakini pia Samatta akisema aanze mashambulizi ya kujitengenezea utagundua anawahi sana kuchoka, hana pumzi na hapo ndio linakuja suala la kuongeza juhudi kwenye kijijengea pumzi, tusishangae akianza kutokea benchi round ya pili ikianza. Yote ya yote kijana anajituma anastahili pongezi.
Wenzetu wale hawakawii kukuuza kwa mkopo wakiona mambo sio mambo..
Good.Hapo mwisho, umemalizia kwa kusema "kijana anajituma " sasa kujituma si ndyo huko kuhangaika, ama ndo anajituma kuzengea? Mi naona yuko vizuri sana tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ajabu haya anayasemea akiwa kwenye kilinge cha sangoma ili kumlegeza mtoto wa watu. Maana si kwa ramli hii.Waswahili bhana, unaacha kumwambia ajirekebishe wapi ili azidi kuwa vizuri unatuambia eti hato maliza misimu miwili EPL as if wewe ni Mungu unaijua kesho yake,
Na kwenye kandanda hakuna bahati hata siku moja, bahati inachukua asilimia ndogo sana kwenye mafanikio ya mtu, kilicho mfikisha pale ni kipaji na juhudi sio kubahatisha,
Msipende kujifanya mnawajua sana binadamu kumshinda Mungu mwenyewe,
Fox in the Box nacho ni kipaji
Unamjua Michael Owen.... ?
Sio kwamba napenda kuangalia watu wa aina hii ya mpira lakini kama utatupia nyavuni na timu kuundwa according to your strength utafanikiwa tu
[emoji12][emoji12][emoji12]Tunao Watanzania wa namna hi, katika mitaa yote hapa Tz, inakaduriwa hawapungui 11% ya watz wote Wana tabia hii. Husna, kijicho, uchawi, ushirikina na kutowapendelea wenzao mafanikio. Wewe ni mwanga
Mkuu acha kushusha CV za watu...Mtunga uzi
Mfano mzuri kwa Africa ni Didier Drogba, huyu jamaa alikua hajui hata kupiga chenga akibaki na beki mmoja tuh, lkn mpira ya vichwa, kuibia na mengine ndo ilimpaisha
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ Kunawatu mnajua kufukua makaburi ipo siku mtafia hukoNimepita tu..πππππ.kweli lisemwalo lipo..