Samatta hatomaliza misimu miwili ndani ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)

Kwa hiyo wewe una akili kuliko waliomsajili.

Popoma....
 
Hata Suarez wa Barcelona 99% ya goals zake ni hizo hizo za kuzengea.
 
Najua nitashambuliwa kwasababu waTz hatupendi kuambizana ukweli, hata uone mapungufu ya wazi kabisa tuko radhi tukayaseme pembeni au kukaa nayo kimya.

Kwanza nampongeza alipofika na apangacho Mungu lazima kitimie inawezekana alipangiwa kufika hapo alipo, lakini pia kwenye maisha kuna suala na bahati, inawezekana kafika hapo kwa bahati aliyonayo ukiondoa juhudi na maarifa.

Twende kwenye hoja, ukiangalia samatta aina yake ya ushambuliji utagundua ni mtu wa kutengenezewa kila kitu yani apikiwe, apakuliwe yeye aje kula tu, ligi ya EPL inataka uhangaikaji, utafutaji na sometimes hata kama wewe ni mshambuliaji basi ujue kujitengenezea pia. Ukiangalia magoli ya Samatta toka alipokua Genk utagundua ni mzuri sana kumalizia, yani yeye ni mipira ya kichwa, kama ni mguu basi ile one touch nyavuni, hakina kujitengenezea wala kujitafutia.

Ndio maana tumeanza kusema ooh anabaniwa pasi, hakuna kitu kama hicho, angalia game zote mbili hakuna sehemu ametafuta, zote alikua na mtu anaezengea zengea golini, kibongo bongo tunaita kuibia [emoji1][emoji1]. Sasa kwa wenzetu hata wachezaj wenzie wanamchora tu ni rahis kumuona aah jamaa anasubiri tumpelekee haya aendelee kusubiri, sasa sisi tunatafsiri kama wanambania

Lakini pia Samatta akisema aanze mashambulizi ya kujitengenezea utagundua anawahi sana kuchoka, hana pumzi na hapo ndio linakuja suala la kuongeza juhudi kwenye kijijengea pumzi, tusishangae akianza kutokea benchi round ya pili ikianza. Yote ya yote kijana anajituma anastahili pongezi.

Wenzetu wale hawakawii kukuuza kwa mkopo wakiona mambo sio mambo..
Watanzania uchawi uko kwenye damu.

Kama ulimsikiliza kocha wa Aston Villa alivyomzungumzia Samatta usingesema maneno haya, nakunukuu, " ukiangalia samatta aina yake ya ushambuliji utagundua ni mtu wa kutengenezewa kila kitu yani apikiwe, apakuliwe yeye aje kula tu, ligi ya EPL inataka uhangaikaji, utafutaji na sometimes hata kama wewe ni mshambuliaji basi ujue kujitengenezea pia. Ukiangalia magoli ya Samatta toka alipokua Genk utagundua ni mzuri sana kumalizia, yani yeye ni mipira ya kichwa, kama ni mguu basi ile one touch nyavuni, hakina kujitengenezea wala kujitafutia",. Kwenye mpira kuna haina tofauti ya washambuliaji, moja wapo ni "goal poacher" ndio Samatta.

Kila la kheri kwenye utabiri wako, ukitaka kupanda mti unaanzia chini sio juu. Sasa kama unahisi Samatta kaanza kupanda mti kuanzia juu endelea na ndoto yako.
 
Hoja yako Nzuri, ila nataka nikupe majina ya Ma Strika wa sampuli ya Samatta waliofunga goli nyingi EPL.
1. Peter Crouch.
2. Alan Shearer.
3. Defoe

Aston Villa wamenunua finisher. Walitaka mtu wa kukaa kwenye box.

Ukiangalia mchezo wao timu yao imejengwa kumzunguka Jack Grealish. Grealish ndio main man pale, mipira yote anapewa yeye. Sasa Grealish huwa anapiga mikwaju nje ya box. Kulikuwa kunakosekana mtu wa kutia mguu au kichwa au kuchukua mabeki wawili ili Grealish apate upenyo.

Kila timu ina style yake ya kucheza. Kwa pumzi kweli Samatta hana pumzi kutokana na ligi ya Uingereza ilivyo.
Najua nitashambuliwa kwasababu waTz hatupendi kuambizana ukweli, hata uone mapungufu ya wazi kabisa tuko radhi tukayaseme pembeni au kukaa nayo kimya.

Kwanza nampongeza alipofika na apangacho Mungu lazima kitimie inawezekana alipangiwa kufika hapo alipo, lakini pia kwenye maisha kuna suala na bahati, inawezekana kafika hapo kwa bahati aliyonayo ukiondoa juhudi na maarifa.

Twende kwenye hoja, ukiangalia samatta aina yake ya ushambuliji utagundua ni mtu wa kutengenezewa kila kitu yani apikiwe, apakuliwe yeye aje kula tu, ligi ya EPL inataka uhangaikaji, utafutaji na sometimes hata kama wewe ni mshambuliaji basi ujue kujitengenezea pia. Ukiangalia magoli ya Samatta toka alipokua Genk utagundua ni mzuri sana kumalizia, yani yeye ni mipira ya kichwa, kama ni mguu basi ile one touch nyavuni, hakina kujitengenezea wala kujitafutia.

Ndio maana tumeanza kusema ooh anabaniwa pasi, hakuna kitu kama hicho, angalia game zote mbili hakuna sehemu ametafuta, zote alikua na mtu anaezengea zengea golini, kibongo bongo tunaita kuibia [emoji1][emoji1]. Sasa kwa wenzetu hata wachezaj wenzie wanamchora tu ni rahis kumuona aah jamaa anasubiri tumpelekee haya aendelee kusubiri, sasa sisi tunatafsiri kama wanambania

Lakini pia Samatta akisema aanze mashambulizi ya kujitengenezea utagundua anawahi sana kuchoka, hana pumzi na hapo ndio linakuja suala la kuongeza juhudi kwenye kijijengea pumzi, tusishangae akianza kutokea benchi round ya pili ikianza. Yote ya yote kijana anajituma anastahili pongezi.

Wenzetu wale hawakawii kukuuza kwa mkopo wakiona mambo sio mambo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utashangaa watu wana roho mbaya kiasi hiki. Sijui wanazitoa wapi. Hawa watu wakiona fulani kafanikiwa kidogo, wataleta majungu mengi na na wengine watataka achunguzwe. Hawapendi wakiona wenzao wanafanikiwa. Hivi Samatta asipomaliza miaka miwili Uingereza wewe itakupa mkate?
 
Round ya pili ipi hiyo ikianza mkuu? kwani sasa ni round ya ngapi? Wao Astonvilla wanachohitaji ni magoli kutoka kwa Samatta haijalishi amevizia au ametafuta. Hivi lile goli alilofunga alitengenezewa au alijitoa mwenyewe?

Kifupi Jack Glealish anajiona father wa timu anacheza mpira mwingi badala atengeneze nafasi watu wafunge.
Mfano mechi ya jana mda mwingi Samata ananyosha mkono wampigie cross lakini wapi.

Wasipo mtumia Samata vizuri watashuka daraja hawa, ila kiukweli Samatta anajua kufunga sana ila Villa ni kama wanambania hivi hasa huyu Glealish anaona kama utawala wake utapotezwa kama wa Mputu pale Mazembe.
Glealish ni mpambanaji yupo kote nyuma kati na mbele nazan shida ipo kwa samata kuzengea zengea kusubil mpira hiyo kitu haipo siku hizi angalia world class no 9 kina Kane Suarez cavani nk wanatafuta mpira wanatoa pass na wanafunga kwa approach ya aston villa kweny gori mtoa Mada yupo sahihi sababu hawapig klosi za kushambulia kwa kichwa wanapiga pass mpak golin ndio maana ukiangalia takwim za samata bado Hana shot on target au off target na gori alilofunga hajapewa assist na mtu labda Kocha abadili mfumo au samata abadili uchezaji vinginevyo tutamuona Glealish mbaya sanaaa huu mwaka
 
Daah umenikumbusha mbali sana mambo ya Ruud van Nesteroy mtaalamu wa kumalizia tu hakua na mambo mengi huyu jamaa!! hao jamaa wanao mponda samata watakua Wachawi!! Watanzania tunalogana sisi wenyewe badala ya kumtakia mtu baraka na fanaka tele!! Eti hatamaliza maada za kipumbavu kama hizi huwa sizipendi zinanichefua sana
Kamsahau Filipo Inzaghi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti Shafii anauliza wazungu umeonaje performance ya samatta? Nmecheka kama zuzu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wakina Shafii Dauda ndio watamwaribia Samata mpira. kwa sifa za kijinga na uzuzu...

Naye anataka kujifanya meneja wa Samata badala arudi bongo atafute kazi.... sijui familia yake inaishije, manake hawa local wachambuzi najua hawalipwi zaidi ya wao kufurahia kusikika in tv au radio
 
WaTz wote ni wacheza mpira? Ndio mana nikasema sisi waTz hatupendi kuambiana ukweli, hii ni kama simple analysis tu ndio mana nikasema najua nitatukanwa lakin huu ndio ukweli.
Mzee kuwa mkweli kwa nafsi yako hivi ulitegemea siku moja kuwa samata atacheza epl?
 
Najua nitashambuliwa kwasababu waTz hatupendi kuambizana ukweli, hata uone mapungufu ya wazi kabisa tuko radhi tukayaseme pembeni au kukaa nayo kimya.

Kwanza nampongeza alipofika na apangacho Mungu lazima kitimie inawezekana alipangiwa kufika hapo alipo, lakini pia kwenye maisha kuna suala na bahati, inawezekana kafika hapo kwa bahati aliyonayo ukiondoa juhudi na maarifa.

Twende kwenye hoja, ukiangalia samatta aina yake ya ushambuliji utagundua ni mtu wa kutengenezewa kila kitu yani apikiwe, apakuliwe yeye aje kula tu, ligi ya EPL inataka uhangaikaji, utafutaji na sometimes hata kama wewe ni mshambuliaji basi ujue kujitengenezea pia. Ukiangalia magoli ya Samatta toka alipokua Genk utagundua ni mzuri sana kumalizia, yani yeye ni mipira ya kichwa, kama ni mguu basi ile one touch nyavuni, hakina kujitengenezea wala kujitafutia.

Ndio maana tumeanza kusema ooh anabaniwa pasi, hakuna kitu kama hicho, angalia game zote mbili hakuna sehemu ametafuta, zote alikua na mtu anaezengea zengea golini, kibongo bongo tunaita kuibia [emoji1][emoji1]. Sasa kwa wenzetu hata wachezaj wenzie wanamchora tu ni rahis kumuona aah jamaa anasubiri tumpelekee haya aendelee kusubiri, sasa sisi tunatafsiri kama wanambania

Lakini pia Samatta akisema aanze mashambulizi ya kujitengenezea utagundua anawahi sana kuchoka, hana pumzi na hapo ndio linakuja suala la kuongeza juhudi kwenye kijijengea pumzi, tusishangae akianza kutokea benchi round ya pili ikianza. Yote ya yote kijana anajituma anastahili pongezi.

Wenzetu wale hawakawii kukuuza kwa mkopo wakiona mambo sio mambo..

Wewe utakuwa na roho ya kwanini tu[emoji3]. Hebu cheki kijana anavyojituma hapa
1c50cec8-ac2a-4129-ae29-cbeadeac3d03.jpg

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mbona kama mchawi ndugu yangu.
Yule ndio kazi yake kufunga,sio kutafuta mipira ndio maana akawekwa mbele huko,angekuwa wa kutafuta mipira angekaa beki au katikati.
 
Kwahiyo kifupi sanatta anacheza anavotaka yeye bila kufuata maelekezo ya walimu wake, u eshawasiliana na walimu wangapi wa samatta wakakuambia kwamba hafati maelekezo ?
 
Mbona kama mchawi ndugu yangu.
Yule ndio kazi yake kufunga,sio kutafuta mipira ndio maana akawekwa mbele huko,angekuwa wa kutafuta mipira angekaa beki au katikati.
Hao kina mesi, ronaldo,, ni ma beki? Mbona wanatafuta mipira na kutupia kila leo? Huna hoja
 
WaTz wote ni wacheza mpira? Ndio mana nikasema sisi waTz hatupendi kuambiana ukweli, hii ni kama simple analysis tu ndio mana nikasema najua nitatukanwa lakin huu ndio ukweli.
Kwani mpira tu ndio wenye Bahati. Poor analysis.
Van Nestroiy wa Man U alikuwa anahangaika uwanjani?
Van Persie wa Arsenal na Man U alikuwa anakaba?
Andy Cole Alikuwa anakaba?
Kwa mifano hiyo michache ya EPL players umepata jibu.
Ukiwa na Lone Striker ( 4-3-2-1) kazi yake no kupelekewa mipira kwenye 18 afunge tu.
1: Ana Target nzuri
2: Ana Nguvu( team utapata penati )
3: Anafunga Kross.
Mwalimu/ meneja wake akilijua Hilo Villa hashuki daraja.
 
Back
Top Bottom