Samatta hatomaliza misimu miwili ndani ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)

Samatta hatomaliza misimu miwili ndani ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)

Niliwahi kusema hili kwa uzuri tu. Sio kwasababu ya wivu lakini ilikua UHALISIA. Naona tunaanza kuyaona, kitu muhimu ni kuandaa watoto tokea chini kabisa kwaajili ya masafa ya ligi kama EPL. Hongera kwake pia kwa kutuandikia historia ambayo haijawahi kuandikwa na yeyote yule
 
Ulikuwa sahihi sana, ni tatizo letu Wabongo kutokuwa wa kweli, icons wetu wengi kwenye soka au music tunawapa sifa za uwongo ambazo haziwajengi zaidi ya kuwabomoa, na kuwafanya wabwete.

All in all, Samatta bado ana nafasi ya kufanya vizuri hata kurudi EPL tena.
 
Huyu Samatta soon atapelekwa Uturuki kumalizia mpira wake baada ya timu yake kuwa imeshuka daraja.

Hana mpira wa kucheza EPL yule, ni kweli alibahatisha tu kwani hata spidi ya EPL hawezi.
Wewe Nyanjomigire na Deecharity mmeniogopesha katika uchambuzi na utabiri wenu. Yametimia.[emoji2297][emoji2297]

Tutabirieni nani anachukua ndoo uchaguzi mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
IMG_0426.jpg
 
Ila Waingereza bana wana vimambo mambo vyao vya ubaguzi

Sasa yule Davis kamzidi nini Samatta? Angalau hata Samatta alifunga magoli mawili lile jamaa halijafunga kabisa afu juzi wameliongezea mkataba au kwasababu ni mtoto wa kwao ndomana wanakaa kimya
 
Back
Top Bottom