Samatta huenda akajiunga na Brighton, Crystal Palace au Norwich za EPL

Samatta huenda akajiunga na Brighton, Crystal Palace au Norwich za EPL

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
external-content.duckduckgo.com.jpg

Mbwana Samatta huenda akawa mchezaji wa kwanza wa Tanzania kuchezea Ligi Kuu ya Uingereza (EPL). Timu za ligi hiyo za Brighton, Crystal Palace na Norwich wote wameonesha nia ya kumsaini mshambuliaji huyo kutoka kwa mabingwa wa Ubelgiji, Genk, wakati wa dirisha la Januari.

Baada ya kuhamia Ubelgiji kutoka TP Mazembe mnamo 2016, Samatta mwenye umri wa miaka 27 alimaliza kama mfungaji bora nchini Ubelgiji msimu uliopita na kuwa wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kushinda tuzo ya Soulier d'ébène kama mchezaji bora wa asili ya Kiafrika katika ligi ya Ubelgiji.

Eintracht Frankfurt na Lazio pia wameelezea nia ya kumsaini Samatta mwezi huu, ingawa inaaminika angependelea kucheza kwenye ligi ambayo inafuatwa kwa karibu nchini Tanzania. Brighton wanafikiriwa kuwa watangulizi katika hatua hii, na meneja, Graham Potter, akiangalia kumpatia msaidizi katika kushambulia mchezaji Neal Maupay huku kukiwa na uhitaji kutoka Aston Villa na Newcastle kwa Glenn Murray.

=======

Mbwana Samatta could be set to become the first Tanzanian player to move to the Premier League, with Brighton, Crystal Palace and Norwich all interested in signing the striker from the Belgian champions, Genk, during the January transfer window.

Samatta, who scored in Genk’s Champions League defeat by Liverpool in November, has a €10m release clause in his contract which expires at the end of next season with all three English clubs understood to have been closely monitoring his progress this season. Having moved to Belgium from TP Mazembe in 2016, the 27-year-old finished as top scorer in Belgium last season and became the first east African to win the coveted Soulier d’ébène award for the best African or African origin player in the Belgian Pro League.

Eintracht Frankfurt and Lazio have also expressed an interest in signing Samatta this month, although it is believed he would prefer to play in a league which is closely followed in Tanzania. Brighton are thought to be the frontrunners at this stage, with the manager, Graham Potter, looking to provide attacking support for Neal Maupay amid interest from Aston Villa and Newcastle in the 36-year-old Glenn Murray.

Norwich are also keen to provide back-up to their leading scorer, Teemu Pukki, as they try to avoid relegation, while the continued absence of Christian Benteke through injury means Palace are in the market for another striker. Roy Hodgson’s side have also made their interest known in the Strasbourg defender Mohamed Simakan, as have Southampton and Watford, although the €25m valuation of the teenager is considered far too high at this stage of his career.



Source:The Guardian

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samatta anafaa kwenda club itakayoshuka daraja akacheze Championship huko. Crystal Palace akienda atakaa benchi mara mia kuliko anavyokaa Genk sasa hivi. Brighton namuona akicheza cheza kidogo.
 
Mkuu unaweza ukawa na uzoefu huo lakini nyota ya mtu ni kitu kingine, utashangaa atapata kibali na kupangwa deilee
Samatta anafaa kwenda club itakayoshuka daraja akacheze Championship huko. Crystal Palace akienda atakaa benchi mara mia kuliko anavyokaa Genk sasa hivi. Brighton namuona akicheza cheza kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh aisee kuna watu wana roho za ajabu sana dunian. Yaan mtu hata kumtakia mwenzie heri hawezi anawaza tu ashindwe ili arudi awe kapuku. Kweli. Hii ndio tabia ya binadamu?

Sawa hata kama akirudi kucheza Simba Hivi wewe utaenda kucheza nafasi yake ama utapata mapato yake wewe?

Roho za wivu kutakia wenzio mabaya ni roho za kipepo na huwa zina tabia ya ku-haunt maisha ya mtu.
 
Duh aisee kuna watu wana roho za ajabu sana duniani. Yaan mtu hata kumtakia mwenzie heri hawei anawaza tu ashindwe ili arudi awe kapuku. Kweli. Hii ndio tabia ya binadamu?

Sawa hata kama akirudi kucheza simba hivi wewe utaenda kucheza nafasi yake ama utapata mapato yake wewe?

Roho za wivu kutakia wenzio mabaya ni roho za kipepo na huwa zinatabia ya ku-haunt maisha ya mtu.
Kuna sehemu amejikwaa kimtindo.
 
Akapambane zaidi ya wakina Sadio Mane.

Yule Samatta wa zamani anasepa na kijiji kama Ngasa wa kipindi hicho, yule alikuwa mwenyewe ila huyu wa sasa hapana.

Ajitahidi kukaza buti na kubadilika/ kukubali mabadiliko.
 
Nani kajikwaa? Samatta?
Hata kama ndivyo kwann tusimuombee her? Kwan nani aliye mkamilifu?
Hakuna cha heri, uwezo wake ndo utakaoamua, heri haiwezi kusimama mahali pa wajibu, heri bila kuwajibika =0, inaibdi apige kazi, na umri alio nao kama imetokea chance ya kwenda EPL aende fasta, vinginevyo ajiandae kucheza na Ndanda.
 
Brighton ni sehemu atakayocheza, kwa urahisi zaidi ataingia katika kikosi!!

Ila kama nataka challenge kukuza kiwango aende lazio akapambane na kina caicedo!! Samatta ana spirit ya upambanaji ni mpambanaji haswa naamini anaweza akapambana huko akapata namba kikosi cha kwanza! Kwa lazio hii moto wake lazima mwakani waende tena uefa!! Ama hata europa!

Kwa Norwich bora aende Crystal Palce! Kuna hatihati Norwich ikashuka daraja msimu huu!!
 
Back
Top Bottom