Kama akiwa na msimu mzuri katika ligi ya Turkey, Aston Villa wanaweza kumrudisha au kumuuza kabisa ila itategemea na hali yao katika safu ya ushambuliaji.Nina matumaini dhaifu sana kwa Samatta kurudi EPL achilia mbali Aston Villa!
Nachokiona ni kuendelea kukipiga katika timu za mataifa "madogo kisoka" ulaya Maghafibi, baadae atatimkia zake Uarabuni akavune madola then south Africa na jumaliza soka lake Uarabuni tena kama sio Simba!
Yaani ndo ligi anazoweza.Nina matumaini dhaifu sana kwa Samatta kurudi EPL achilia mbali Aston Villa!
Nachokiona ni kuendelea kukipiga katika timu za mataifa "madogo kisoka" ulaya Maghafibi, baadae atatimkia zake Uarabuni akavune madola then south Africa na jumaliza soka lake Uarabuni tena kama sio Simba!
Lakini alishindwa kuitumia Villa?Huyu jamaa ana bahati sana aiiise
Lakini haibadilishi ukweli kuwa huyu jamaa ana bahati sanaLakini alishindwa kuitumia Villa?
Ni kweli kabisa, lakini utakua umelikosea maana neno bahati kama ukisema hivyo.Lakini haibadilishi ukweli kuwa huyu jamaa ana bahati sana
labda uwe na chuki tu na huyu jamaa mwamba ana bahati sanaNi kweli kabisa, lakini utakua umelikosea maana neno bahati kama ukisema hivyo.
Mi naona alionekana "kama" alishindwa, kutokana na aina ya mchezo wanaocheza Villa. Ukiangalia mchezo, na aina ya mipira anayopelekewa Fehnerbahce ni kama kule Genk. Kwa aina hiyo, sina shaka atafunga magoli mengi huko. Hebu angalia magoli hayo mawili aliyofunga. Tena anajiamini sana!Lakini alishindwa kuitumia Villa?
Aston Villa hata uweje,kwenye mechi 16 alizocheza walifunga goli 7 tuu na matatu ni penati ,manne yaliyobaki kafunga mawili na alitia pressure moja mtu akajifungaLakini alishindwa kuitumia Villa?