Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,518
- 10,839
Ndiyo! Kunako dakika ya 24 ya mchezo alioanza katika first XI, Samatta hajawaangusha kocha na mashabiki zake kaingia kambani na katimiza kazi aliyopewa. Hii ni hatua nzuri ya kuzidi kuaminika na kocha na kupewa nafasi zaidi.
One of our own scored. 🇹🇿
Mwisho wa msimu tunarudi zetu Aston Villa ila sijui watakuwa ligi gani England! 😁
One of our own scored. 🇹🇿
Mwisho wa msimu tunarudi zetu Aston Villa ila sijui watakuwa ligi gani England! 😁