God Fearing Person JF-Expert Member Joined Apr 5, 2020 Posts 767 Reaction score 2,570 Aug 28, 2024 #1 Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit βπΏ
Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit βπΏ
A Anthony horowitz JF-Expert Member Joined May 4, 2024 Posts 421 Reaction score 1,042 Aug 28, 2024 #2 Sangatitti said: Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit βπΏ Click to expand... Ficha upuuzi na uzuzu wako kijana
Sangatitti said: Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit βπΏ Click to expand... Ficha upuuzi na uzuzu wako kijana
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Aug 28, 2024 #3 Albert Einstein? au Nobel? (Nobel Prize)
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Aug 28, 2024 #4 wamefanya nini? Sana sana Umalaya? (labda ukimuondoa huyu wa mpira, ambao ni low level na hauna contibution yoyote kwa Taifa) wengine ni umalaya!
wamefanya nini? Sana sana Umalaya? (labda ukimuondoa huyu wa mpira, ambao ni low level na hauna contibution yoyote kwa Taifa) wengine ni umalaya!
Mchunguzi Fukara JF-Expert Member Joined Dec 23, 2021 Posts 215 Reaction score 274 Aug 28, 2024 #5 Kwanini mnamsahau Hamorapa
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Sep 1, 2024 #7 Sangatitti said: Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit βπΏ Click to expand... Duh role model zenu bana π Ndomana kila mtoto anataka awe Mkata uno Ova
Sangatitti said: Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit βπΏ Click to expand... Duh role model zenu bana π Ndomana kila mtoto anataka awe Mkata uno Ova