Samatta kapiga hat-trick

Samatta kapiga hat-trick

Msimi ujao natumai timu kubwa itamchukua
 
kwa haraka nimeanza kumuwazia ufungaj bora ueropa samata.hv magoli ya mfungaj bora sio wanaanza kuhesabia had haya ya mtoano?
 


Mchezo wa 5-2 ulikuwa ni wa kwanza wa tar 23/08/2018 ambako matokeo yalikuwa 5-2 Mbwana Samata peke yake akitumbukiza 3
Kwenye mchezo wa marudiano uliofanyika tar 30/08/2018 KRC Genk waliwafunga 4-2 Mwana Samata akitumbukiza tena moja
Aggregate goals = 9-4
 
How many goals has Mbwana Samata scored this season?
In the current season Mbwana Samata scored 13 goals in 13 appearances.

1 goals in national team( Friendlies), 12 goals in the club ( Europa League , Jupiler League, Friendlies). He played 1033 minutes, with 8 times he played game in first line.
 
Kuna mpumbavu humu aliwahi anzisha Uzi wa kumponda jamaa, nadhani sasa hivi ataacha wivu wa kingese
 
SamaGoal
 

Attachments

  • Screenshot_2018-09-29-21-58-56.png
    Screenshot_2018-09-29-21-58-56.png
    19.1 KB · Views: 24
Back
Top Bottom