Samatta kuishika Premier League, Wakenya wamezeeka

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,427
Reaction score
4,944
Mbwana Alli Samatta ‘Captain Diego’ leo anaanza kukiwasha ardhi ya Malkia.

Wakenya mnanuna sana poleni. Wanyama kazeeka. Mariga sijui yuko wapi?

Wakenya ndo mjue kama ni mvua basi hii rasha rasha tu bado shughuli inakuja.
 
Sasa watanuna kwa sababu gani wakati Samata mwenyewe ni Mkenya mwenye uraia wa Tanzania?
 
... katika msimamo wa EPL 2019/20, Aston Villa ni ya 16 kati ya timu 20 zinazoshiriki ikiwa na points 25. Kazi ipo!
 
Acheni mabishanao yasiokua na msingi kikubwa tunatakiwa tumshukuru mungu hata kwa Kua na mchezaji wa kitanzania kucheza epl kwaio hapa sisi cha kufanya ni kumuombea samata a fanye vizuri zaidi na hata asajiliwe na man u


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania ni watu malimbukeni sana, huyo Samatta hata hajacheza lkn ndio mnapayuka hivyo.

Epl ni ligi ngumu duniani na sidhani kama kuna chochote Samatta atafanya kwenye ligi hiyo mwisho ataishia kupelekwa nchi nyingine kwa mkopo.

People expect too much from him that he cannot offer. He's from the modest league in Belgium, the league that differs a lot with the one he is set to feature in and he may turn out to be a peripheral figure when on the pitch. Let's give him the benefit of the doubt.
 
Samatta ndiyo kwanza anaumiza kichwa kuona kama atatoboa kwa Malkia tunaanza kutiliana shombo sisi kwa sisi badala ya kumsapport, Wanyama amepiga hatua nyingi tu dhidi ya kapten Diego.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaisoma namba

Victor Wanyama amebaki kusugua benchi mpaka huruma, subiri uone sasa Samatta anavyokinukisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupunguze ulimbukeni SAMATA angekuwa kama WANYAMA au SADIO MANE sjui ingekuwaje! SAMATA bado sana na kuhusu umri hata samata atacheza miaka haitazidi 3 atakuwa anaelekea CHINA au DUBAI .umri wake naye upo jioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…