Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nini... katika msimamo wa EPL 2019/20, Aston Villa ni ya 16 kati ya timu 20 zinazoshiriki ikiwa na points 25. Kazi ipo!
Mtaisoma nambaWatanzania ni watu malimbukeni sana, huyo Samatta hata hajacheza lkn ndio mnapayuka hivyo.
Epl ni ligi ngumu duniani na sidhani kama kuna chochote Samatta atafanya kwenye ligi hiyo mwisho ataishia kupelekwa nchi nyingine kwa mkopo.
People expect too much from him that he cannot offer. He's from the modest league in Belgium, the league that differs a lot with the one he is set to feature in and he may turn out to be a peripheral figure when on the pitch. Let's give him the benefit of the doubt.