The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
SNgoja nikukumbushe Andrew Robertson wakati Swansea inashuka daraja yeye akaenda Liverpool una kumbuka?
Hull City sio SwanseaNgoja nikukumbushe Andrew Robertson wakati Swansea inashuka daraja yeye akaenda Liverpool una kumbuka?
Yeah anaweza pata hiyo maana mchezaji wa gharama sana anapata 50K kwa wikiHongera kwake aoaenda kwenye pesa sasa akomae hata paund elf50 kwa wiki itatosha.
Kweli bhana wabongo wanazingua Sana , yaan kwenye page wamejaa na viswahili vyao, kejeli na matus humo humo daah, kama kpind kile Samata anaifunga Liverpool page ya Liverpool ilijazwa na wabongoUbaya ni ule mnaenda kwenye page ya Aston Villa mnajazana huko kila mtu na neno lake. Mnazingua sana
Ahsante kwa masahihisho
Ahsante kwa masahihishoAndy roberston alikuwa hull city
S
Aston haijamalizana na baadhi ya timu kubwa na mojawapo ni Liverpool huenda akaonyesha jambo tenaNamjua vizur, na huyo jamaa alishuka daraja na timu yake,
Wataka kusema nin kuhusu Samata kuchezea Villa park???
Ya Mwakyembe ni ngapi?
Akiifunga hata Leicester City ni shangwe sanaAston haijamalizana na baadhi ya timu kubwa na mojawapo ni Liverpool huenda akaonyesha jambo tena
Msuva anaenda wapi kwani
Msuva anaenda Benfica ya Ureno. Inayoongoza ligi kule. Sasa Samata hiyo Aston villa mwaka huu itashuka darajaMsuva anaenda wapi kwani
Ameshasaini Benfica ya Ureno miaka mitatu.Msuva haendi popote...!!
Ataendelea kula mikate huko!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ila wabongo kwa uchawicha.. Tupo vizuri aisee [emoji23][emoji23][emoji23]Aston villa yenyewe ina hati hati ya kushuka daraja mwaka huu,akienda ataishia championship,bora abaki huko huko
Hamna mkuu imethibitishwa mpaka radio ninazoziamini. Mpaka mjadala sasa ipo kwenye media nyingi. Ingia YouTube ”msuva kujiunga benfica”
Sasa uchawi gani kama hapo?. Kwamba anaifanyia uchawi Aston villa ishuke ksbb ya samata kwenda huko?. Au ni timu yenyewe iko kwenye mstari mwekundu kupiga chini?Ila wabongo kwa uchawicha.. Tupo vizuri aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima huwa ni 10% kama sikoseiHivi kwenye hiyo 10m mnyama ana kamgao kake au hamna kitu? 10m si mchezo ati!