Samatta mbioni kujiunga na Aston Villa

Samatta mbioni kujiunga na Aston Villa

Hongera sana Mbwana Samatta.

Pongezi pia kwa maskauti wa mpira wa kutoka Afrika na wanaoipenda mpira wa Afrika kwa jitihada zao.

Karibu sana kwenye ligi ngumu ya Uingereza.
 
Ubaya ni ule mnaenda kwenye page ya Aston Villa mnajazana huko kila mtu na neno lake. Mnazingua sana
Kweli bhana wabongo wanazingua Sana , yaan kwenye page wamejaa na viswahili vyao, kejeli na matus humo humo daah, kama kpind kile Samata anaifunga Liverpool page ya Liverpool ilijazwa na wabongo
 
Back
Top Bottom