Samatta mbioni kujiunga na Aston Villa

Samatta mbioni kujiunga na Aston Villa

Hiyo yote hela ya timu mzee, yeye anaenda kupambana na mshahara wake huko.
Wauzaji hiyo ndio hela yao.
Mnyama anamaanisha simba, ameuliza hivyo kwakuwa simba waliweka kipengele kila samata atakapouzwa wao wana 20%
 
BREAKING:

Aston Villa are closing in on a deal for Genk striker Mbwana Samatta, Sky Sports News can confirm.
IMG_20200116_201608_930.jpeg
 
Bandugu, kama kichwa cha habari kinavyosema. Tujiandae kuanzia kesho kusikia Samatta akichezea Aston Villa iliyoko Birmingham-Uingereza. Hongera sana Samatta.

Source: Online newspaper la Uingereza, yaani Birmingham Live.
 
Back
Top Bottom