Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,550 Reaction score 39,949 Nov 24, 2019 #1 Kupitia page ya shirikisho la mpira barani africa, wametoa orodha hiyo. Ni hatua kubwa kwake kuwekwa kwenye orodha. Kushinda ni swala lingine. Ningeshangaa kam asingewekwa maana kwangu alikidhi vigezo hivyo. Kachukua Ligi Kuu Ubelgiji na kuwa wa pili kwa ufungaji, na kuwezesha team yake kucheza UEFA. Kasaidia team ya Taifa kufuzu AFCON baada ya muda mrefu. Pia aliyewahi kuwa mchezaji wa Simba Emmanuel Okwi na Meddie Kagere(MK14) wapo kwenye orodha ya kugombea mchezaji bora kwa wanaocheza ndani ya Afrika.
Kupitia page ya shirikisho la mpira barani africa, wametoa orodha hiyo. Ni hatua kubwa kwake kuwekwa kwenye orodha. Kushinda ni swala lingine. Ningeshangaa kam asingewekwa maana kwangu alikidhi vigezo hivyo. Kachukua Ligi Kuu Ubelgiji na kuwa wa pili kwa ufungaji, na kuwezesha team yake kucheza UEFA. Kasaidia team ya Taifa kufuzu AFCON baada ya muda mrefu. Pia aliyewahi kuwa mchezaji wa Simba Emmanuel Okwi na Meddie Kagere(MK14) wapo kwenye orodha ya kugombea mchezaji bora kwa wanaocheza ndani ya Afrika.
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,097 Reaction score 17,929 Nov 24, 2019 #2 Pongezi kwake.
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Nov 24, 2019 #3 Anti-samatta watakuja kupinga
Twamo JF-Expert Member Joined May 27, 2017 Posts 2,884 Reaction score 5,016 Nov 24, 2019 #4 Bado Msuva sasa!
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,550 Reaction score 39,949 Nov 24, 2019 Thread starter #5 Kwa timu aliyopo atachelewa. Apate team inayoweza kucheza caf champions ligi na ikafanya vizuri. atafika mbali kuliko alipo sasa. Twamo said: Bado Msuva sasa! Click to expand...
Kwa timu aliyopo atachelewa. Apate team inayoweza kucheza caf champions ligi na ikafanya vizuri. atafika mbali kuliko alipo sasa. Twamo said: Bado Msuva sasa! Click to expand...
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Nov 24, 2019 #6 Scars said: Anti-samatta watakuja kupinga Click to expand... Hakuna anayempinga Samatta,ila kukosolewa siyo dhambi
Scars said: Anti-samatta watakuja kupinga Click to expand... Hakuna anayempinga Samatta,ila kukosolewa siyo dhambi
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,152 Reaction score 3,473 Nov 24, 2019 #7 Yumo tu ila hiyo tuzo ni ya salah au mane
Lukub JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 3,622 Reaction score 4,100 Nov 25, 2019 #8 Kama Meddie na Okwi wanaingia kwenye orodha Msuva anakwama wapi?aongeze kiwango huyu
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Nov 25, 2019 #9 Tuzo inaenda Liverpool nazani mmenielewa
1kush africa JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 9,552 Reaction score 13,090 Nov 25, 2019 #10 nguvu said: Tuzo inaenda Liverpool nazani mmenielewa Click to expand... Nimekuelwa