Samatta mmoja kati ya wachezaji 30 bora Africa

Samatta mmoja kati ya wachezaji 30 bora Africa

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,550
Reaction score
39,949
Kupitia page ya shirikisho la mpira barani africa, wametoa orodha hiyo.

Ni hatua kubwa kwake kuwekwa kwenye orodha. Kushinda ni swala lingine.
Ningeshangaa kam asingewekwa maana kwangu alikidhi vigezo hivyo.

Kachukua Ligi Kuu Ubelgiji na kuwa wa pili kwa ufungaji, na kuwezesha team yake kucheza UEFA.

Kasaidia team ya Taifa kufuzu AFCON baada ya muda mrefu.

Pia aliyewahi kuwa mchezaji wa Simba Emmanuel Okwi na Meddie Kagere(MK14) wapo kwenye orodha ya kugombea mchezaji bora kwa wanaocheza ndani ya Afrika.

CAF_on_Instagram%3A_%E2%80%9CYour_African_Player_of_the_Year_Nominees_%F0%9F%8C%8D%F0%9F%8F%8...jpeg
 
Kwa timu aliyopo atachelewa. Apate team inayoweza kucheza caf champions ligi na ikafanya vizuri. atafika mbali kuliko alipo sasa.
Bado Msuva sasa!
 
Kama Meddie na Okwi wanaingia kwenye orodha Msuva anakwama wapi?aongeze kiwango huyu
 
Back
Top Bottom