Samatta na Diamond nani zaidi kwa kipato

Samatta na Diamond nani zaidi kwa kipato

Kweli bongo nyoso yaani mtu anauliza pato la mwanaume mwenzake kweli?ukishajua mshahara wako utapanda? au utakuwa tajiri?kwa style hii kweli uchumi wa nchi utapanda kweli?
Si bora hata Huyo anayefuatilia mshahara wewe je ambaye unafuatilia mpk mambo ya ndani ya mond utadhani umeolewa na mond?
 
Badala ya kuniwekea hapa unaniambia niende twitter?

Anayeongoza kwa kulipwa hela nyingini kipa wao, kapteni anayepiga mwingi sana na anawaniwa na vigogo EPL analipwa 35,000 Pound, Samatta atoke huko aje kuwazidi wote! haiwezekani mkuu hata kama ni mambo ya mkataba.
Samatta striker..kanunulia £10+m ...kacheza UEFA champions league ana vitu vi
Kweli bongo nyoso yaani mtu anauliza pato la mwanaume mwenzake kweli?ukishajua mshahara wako utapanda? au utakuwa tajiri?kwa style hii kweli uchumi wa nchi utapanda kweli?
celebrities forum umepote njia???
 
Ase usifikirie tu hizo digits zilivyo nyingi, fikiria pia thamani ya Maisha UK halafu ufananishe na huku bongo anakoishi Diamond.
 
Bada ya makato kwa mwaka angalau atakuwa na si chini ya 3bil. Nadhan atakua anamzidi diamond kwasbab kwa takwimu za vijiwe vya kashata huku diamon na hizo 8bil ambazo amezikusanya ktk maish yake yote ya muziki mpaka sasa
Angalia networth ya mond ndio ujue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.Hivi kipato cha Mond kinatokana

*Show
*wasafi tv
*wcb
*endosement
*wasafi festival projeect
*Online

Pigia faida anayoingiza Mond kwajumla ya vyote hivyo kwa mwaka then gawanya kwa 12 ndio utajua.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"HASHIMU SABITI" akiona hivi NYA inagonga PICHU akikumbuka Mabilioni aliyokuwa anaingiza now anazidiwa kipato hata na LIKWIDI OI NAKUFA.
 
Badala ya kuniwekea hapa unaniambia niende twitter?

Anayeongoza kwa kulipwa hela nyingini kipa wao, kapteni anayepiga mwingi sana na anawaniwa na vigogo EPL analipwa 35,000 Pound, Samatta atoke huko aje kuwazidi wote! haiwezekani mkuu hata kama ni mambo ya mkataba.
samata asaivi ndiyo anae ongoza anakula laki 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya kuniwekea hapa unaniambia niende twitter?

Anayeongoza kwa kulipwa hela nyingini kipa wao, kapteni anayepiga mwingi sana na anawaniwa na vigogo EPL analipwa 35,000 Pound, Samatta atoke huko aje kuwazidi wote! haiwezekani mkuu hata kama ni mambo ya mkataba.
Top Five Villa. Remember makato ya Tax Uingereza ni 50% kama pato lako la mwaka linazidi £100'000 kwa mwaka. So hawa wa £50'000 kwa wiki wana net ya £25'000 per week. Nb £1~TZS3000
Screenshot_2020-01-24-02-00-37-520_com.android.chrome.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya kuniwekea hapa unaniambia niende twitter?

Anayeongoza kwa kulipwa hela nyingini kipa wao, kapteni anayepiga mwingi sana na anawaniwa na vigogo EPL analipwa 35,000 Pound, Samatta atoke huko aje kuwazidi wote! haiwezekani mkuu hata kama ni mambo ya mkataba.
Samatta ndo analipwa pesa nyingi kuliko wote pale Aston villa
 
Top Five Villa. Remember makato ya Tax Uingereza ni 50% kama pato lako la mwaka linazidi £100'000 kwa mwaka. So hawa wa £50'000 kwa wiki wana net ya £25'000 per week. Nb £1~TZS3000View attachment 1332585

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo ya mshahara wa mtu wala si ya kubishana ila kuna watu wanasimamia kucha kupinga vitu wasivyovijua... Samatta analipwa£51000 kwa wiki mahesabu mengine ongezea mwenyewe hapo
 
Back
Top Bottom