Si bora hata Huyo anayefuatilia mshahara wewe je ambaye unafuatilia mpk mambo ya ndani ya mond utadhani umeolewa na mond?Kweli bongo nyoso yaani mtu anauliza pato la mwanaume mwenzake kweli?ukishajua mshahara wako utapanda? au utakuwa tajiri?kwa style hii kweli uchumi wa nchi utapanda kweli?
Take home pay hiyoMkumbuke hiyo ni gross salary.
Mkisikia makato yake mtasema bora arudi Tp mazembe ama simba tuu.
Unforgetable
Samatta striker..kanunulia £10+m ...kacheza UEFA champions league ana vitu viBadala ya kuniwekea hapa unaniambia niende twitter?
Anayeongoza kwa kulipwa hela nyingini kipa wao, kapteni anayepiga mwingi sana na anawaniwa na vigogo EPL analipwa 35,000 Pound, Samatta atoke huko aje kuwazidi wote! haiwezekani mkuu hata kama ni mambo ya mkataba.
celebrities forum umepote njia???Kweli bongo nyoso yaani mtu anauliza pato la mwanaume mwenzake kweli?ukishajua mshahara wako utapanda? au utakuwa tajiri?kwa style hii kweli uchumi wa nchi utapanda kweli?
Angalia networth ya mond ndio ujue.Bada ya makato kwa mwaka angalau atakuwa na si chini ya 3bil. Nadhan atakua anamzidi diamond kwasbab kwa takwimu za vijiwe vya kashata huku diamon na hizo 8bil ambazo amezikusanya ktk maish yake yote ya muziki mpaka sasa
ficha ujinga wako.Mkumbuke hiyo ni gross salary.
Mkisikia makato yake mtasema bora arudi Tp mazembe ama simba tuu.
Unforgetable
samata asaivi ndiyo anae ongoza anakula laki 5Badala ya kuniwekea hapa unaniambia niende twitter?
Anayeongoza kwa kulipwa hela nyingini kipa wao, kapteni anayepiga mwingi sana na anawaniwa na vigogo EPL analipwa 35,000 Pound, Samatta atoke huko aje kuwazidi wote! haiwezekani mkuu hata kama ni mambo ya mkataba.
Nadhani kwenye fenesi ndo pamekuchekesha sana
Top Five Villa. Remember makato ya Tax Uingereza ni 50% kama pato lako la mwaka linazidi £100'000 kwa mwaka. So hawa wa £50'000 kwa wiki wana net ya £25'000 per week. Nb £1~TZS3000Badala ya kuniwekea hapa unaniambia niende twitter?
Anayeongoza kwa kulipwa hela nyingini kipa wao, kapteni anayepiga mwingi sana na anawaniwa na vigogo EPL analipwa 35,000 Pound, Samatta atoke huko aje kuwazidi wote! haiwezekani mkuu hata kama ni mambo ya mkataba.
Samatta analipwa kwa Siku Milioni 21 Tsh
Wiki: Milioni 153 Tsh
Mwezi: Milioni 610 Tsh
Mwaka: Bilioni 8 Tsh
Sijui Diamond kipato chake, Ila ningependa kujua nani zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"HASHIMU SABITI" akiona hivi NYA inagonga PICHU akikumbuka Mabilioni aliyokuwa anaingiza now anazidiwa kipato hata na LIKWIDI OI NAKUFA.
Ukisikia na bonus zake kila akifanya vizuri au akishinda goli au akitoa pasi ya goli utafuta hii post yako.Mkumbuke hiyo ni gross salary.
Mkisikia makato yake mtasema bora arudi Tp mazembe ama simba tuu.
Unforgetable
acha mambo yako ww makato yake si zaidi ya47% it means bado kwa mwezi anabaki na kama m200-300 mazembe nani atakulipa hiyo pesaMkumbuke hiyo ni gross salary.
Mkisikia makato yake mtasema bora arudi Tp mazembe ama simba tuu.
Unforgetable
Samatta ndo analipwa pesa nyingi kuliko wote pale Aston villaBadala ya kuniwekea hapa unaniambia niende twitter?
Anayeongoza kwa kulipwa hela nyingini kipa wao, kapteni anayepiga mwingi sana na anawaniwa na vigogo EPL analipwa 35,000 Pound, Samatta atoke huko aje kuwazidi wote! haiwezekani mkuu hata kama ni mambo ya mkataba.
Haya mambo ya mshahara wa mtu wala si ya kubishana ila kuna watu wanasimamia kucha kupinga vitu wasivyovijua... Samatta analipwa£51000 kwa wiki mahesabu mengine ongezea mwenyewe hapoTop Five Villa. Remember makato ya Tax Uingereza ni 50% kama pato lako la mwaka linazidi £100'000 kwa mwaka. So hawa wa £50'000 kwa wiki wana net ya £25'000 per week. Nb £1~TZS3000View attachment 1332585
Sent using Jamii Forums mobile app
samatta yupo wapi hapoTop Five Villa. Remember makato ya Tax Uingereza ni 50% kama pato lako la mwaka linazidi £100'000 kwa mwaka. So hawa wa £50'000 kwa wiki wana net ya £25'000 per week. Nb £1~TZS3000View attachment 1332585
Sent using Jamii Forums mobile app