Samatta, Samatta gooooal!

Samatta, Samatta gooooal!

Mtangazaji: Samatta mtanzania wa kwanza kufunga goli EPL 😱
 
[emoji75][emoji75][emoji75]
20200201_212721.gif
 
Kijana wa kitanzania Mbwana Samatta leo anakipiga na wale wanaoweka mkeka uwani, chukua hii...
Aston Villa anaibuka mshindi (mabao sijui) weka ushindi tu.
 
Huyo Kocha sijui hana mbinu nyingine
 
Back
Top Bottom