nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,035
Amen, ila wenzake wamdondoshee mipira sasa!Dah! Mwanzo mzuri kwake. Namuomba Mungu azidi kumpa afya njema ili afanye makubwa zaidi ya alipotoka!
Tumkumbuke katika maombi yetu. Anaweza kufungua njia hata kwa watoto na vijana kucheza ulaya. Tumkumbuke kijana wetu bila kuangalia dini zetu.Amen.
Ukimtakia mwezako Baraka, Mungu atakubariki pia!
Sasa unashangaa nini mwingine Nani alishafunga??Mtangazaji: Samatta mtanzania wa kwanza kufunga goli EPL 😱
Mwanzo mgumu mkuu tuwape muda watamkubali.Amen, ila wenzake wamdondoshee mipira sasa!
Wanakuwa kama na kauchoyo flani vile au kutoa pasi kwa kujuana flani
Sent using Jamii Forums mobile app
Go Samma Goal.
Dah inasikitisha sana ase 4 goals.Hii timu ni mbovu sana