Samatta, tafadhali wekeza kwe shule ya soka (academy)

Hakuna anayempangia mzazi. Just ondoa negativity utaona kuwa huu ni ushauri au maoni na wala siyo malekezo. Tatizo mindset ikiwa ndani ya boksi ni kuona kila kitu kwa sura hasi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ndio mwenye negative mind kwanini upngie pesa za mtu kufanya jambo fulani ?
Kisa yupo katika fani hiyo hiyo, wacha achague mwenyewe cha kufanya sio kila mtu anapenda anika mambo yake hadharani umeambiwa na mdau kua ana Tour company sna ulikua haujui so kwa ufupi tuache watu wafanye maisha yao kwa kadri yavyoweza wao ata akija furia ni yeye na familia wewe aikuhusu zaidi ndo mtamsema sana na kumcheka kumuongezea stree kwa kifupi ni ACHA UNAFIKI NA UJUHA KWENYE PESA YA MWANAUME MWENZAKO TAFUTA ZAKO UZIPANGIE MATUMIZI MAANA KUFANYA IVYO NI UMBEA NA KWA MWANAUME NIAIBU KUBWA.

NB: Povu ruksa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Deni alilonalo kwa Tanzania ni lipi?
Watu mnaongea utasema unamlazimisha jinsi ya kutumia hela zake, acheni aspend hela zake anavyojiisikia, maisha ni yake na ni mtu mzima, as long as hela zake anazitumia kihalali we haikuhusu.

Hujui aliivyosota hadi kufika alipo alafu unakaa kumpangia? watu mnaojifanya mna idea za biashara hua mna matatizo sana kichwani, tafuta success mwenyewe, failure zako zisifanye uingilie ya wengine.
 
Ukitumia lugha za matusi unasonga mbele hatua ngapi kwenye maisha yako? Anyway, labda huo ndiyo uwezo wako wa juu zaidi kujenga hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna uhusiano wa moja kwa moja unaoeleza kuwa ukitukana basi huwezi kufanikiwa..

Ila ni pale mwenye roho ya koroshow kama wewe unapojidai eti ndo unajenga hoja..!

Hiii ni hoja gani sasa? Mtu atafute hela zake then wewe unasema eti sitaki ujenge Nyumba, jenga academy..! Huoni aibu kumpangia Hela zake mwanaume mwenzako??

Jenga basi wewe academy.. Ficha upumbavu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…