denis fourplux
JF-Expert Member
- Aug 17, 2017
- 1,049
- 1,385
Hakuna anayempangia mzazi. Just ondoa negativity utaona kuwa huu ni ushauri au maoni na wala siyo malekezo. Tatizo mindset ikiwa ndani ya boksi ni kuona kila kitu kwa sura hasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio mwenye negative mind kwanini upngie pesa za mtu kufanya jambo fulani ?
Kisa yupo katika fani hiyo hiyo, wacha achague mwenyewe cha kufanya sio kila mtu anapenda anika mambo yake hadharani umeambiwa na mdau kua ana Tour company sna ulikua haujui so kwa ufupi tuache watu wafanye maisha yao kwa kadri yavyoweza wao ata akija furia ni yeye na familia wewe aikuhusu zaidi ndo mtamsema sana na kumcheka kumuongezea stree kwa kifupi ni ACHA UNAFIKI NA UJUHA KWENYE PESA YA MWANAUME MWENZAKO TAFUTA ZAKO UZIPANGIE MATUMIZI MAANA KUFANYA IVYO NI UMBEA NA KWA MWANAUME NIAIBU KUBWA.
NB: Povu ruksa
Sent from my iPhone using JamiiForums