Samatta tena!

Kamua samata!Waache wenye upofu waendelee ohh SIMBA sjui YANGA,we songa mbele!

huku kwetu soka limetekwa na USIMBA na UYANGA!
 
Kamua samata!Waache wenye upofu waendelee ohh SIMBA sjui YANGA,we songa mbele!

huku kwetu soka limetekwa na USIMBA na UYANGA!
Labda yanga, simba mbona wako fresh sana?kama hivo samatta kalelewa pale msimbazi
 
Samatta yuko vizuri sana na uyu kocha wao mpya kamuamino ndio maana anafanya vyema. Kwasasa ndio anaongoza kwa kufunga kwenye timu yake.
 
Sijui nitapikeeee anyways sina ile mikaisari ya kolo sama[emoji119][emoji119] samaaaaaa safi kijana ufike mbali dogo tunakuombea[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…