Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Hahahaaa sawa kiongozi.Umevurugwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa sawa kiongozi.Umevurugwa?
Hahaa ameuliza nani mchezaji wa simba nimemwambia kichuya, anauliza eti ndio amefanya nini.
Kumbe basket sio mpira!Dah! Mimi si mpenzi wa soka na wala huwa sifuatilii kabisa habari za mipira (labda basket tu), lakini kijana ananivutia sana kufuatilia habari zake...
we nae nje ya mada kabisaSimba wanajali sana wachezaji wake.
Kivipi mkuuwe nae nje ya mada kabisa
Nilijisikia kama nimeingiliwa na mapepo maana Ngassa kwa kiwango chake bora CannavaroMkuu kilikutetemesha kitu gani
Waambie hao,Watu sijui wakoje kwani kukiri ni mchezaji aliyepaishwa na simba kunakupunguzia nini? Samatta Tp mazembe walimwona baada ya simba kucheza nao.Chaajabu nini hapo? Simba ikiwakilisha Nchi kina kichuya,Ndemla na Ajibu nao wataenda tu, simba si timu ya kubahatisha ati.
Basket kwa maana ya kikapu na kwenda sokoni au? Basketball?nlijuatu aisee weng wasiopenda soka ni wapenzi wa basket....poapoa kaka
Rudia kusoma utamuelewa!Kumbe basket sio mpira!
Hahaaa ndio unavyo mshaurihivyo, alebamia!!.wasimtongoze tu wale mademu wakamaliza nguvu.. ale bamia kwa wingi
ndiyo mkuu yanatengeneza ute ute kule kwenye uteHahaaa ndio unavyo mshaurihivyo, alebamia!!.
Hahahaaa daah sipajui mkuu.ndiyo mkuu yanatengeneza ute ute kule kwenye ute
Sema tungekuwa na watatu...nikiangalia samata anavyojitahidi namkumbuka hasheem thabeet jamaa sijui kapotelea wapi, tungekuwa na icons wawili.
duh hujasoma biolojia?Hahahaaa daah sipajui mkuu.
sio kila kikapu ni cha kuendea sokoni kijanaBasket kwa maana ya kikapu na kwenda sokoni au? Basketball?
Naona una stamina ya ubishi!...Kumbe basket sio mpira!