Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulimwengu katukaba sana, sikuona alichokifanya uwanjani.hv kocha sub ya ulimwengu hakuiona tangu mwanzo kweli? yaani ni ujinga ujinga tu
kuumbuliwa jf nisawa na kuumbuliw na interface ya kisimu chako ulichokihangaikia kwelUsinipangie namna ya kuangalia mpira
akome kuzaliwa bongo
ana option ya kuukana uraia wa hii nchi, mwanangu nlifanya makusud akazaliwa nje ya nchi na cjataka kabisa awe na uraia wa hii nchi ya laanaDuh, unaua! Si unajua hatuchagui wa kutuzaa na mahali pakuzaliwa?
Samatha? Samatta?samatha bongo bahati mbaya inasikitisha sana
hivo hivoSamatha? Samatta?